bulumya londo, naomba labda unielimishe, hao wengi wanaoamini kwamba serikali mbili ndiyo bola (bora?) unawatoa wapi? Uliwahoji? Mimi najua iko Tume ilitembea nchi nzima mkoa hadi mkoa, wilaya hadi wilaya, kata hadi kata, kijiji hadi kijiji ikikusanya maoni ya wananchi. Je hao wa kwako uliwahoji lini na wapi?mbona nyie mlioona mfumo wa serikali tatu munajiimanisha kuwa ndiyo wananchi wa taifa hili kuliko wale ambao ndiyo wengi wanaoamini kwamba serikali mbili ndiyo bola?
naamini wote wamerudi ila wapo geshti wamejificha
Hao 6 unaosema hawajaonekana kwenye shuhuli yoyote ya bunge, wamesaini na kwenda kujificha pasipojulikana.Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.
bulumya londo, naomba labda unielimishe, hao wengi wanaoamini kwamba serikali mbili ndiyo bola (bora?) unawatoa wapi? Uliwahoji? Mimi najua iko Tume ilitembea nchi nzima mkoa hadi mkoa, wilaya hadi wilaya, kata hadi kata, kijiji hadi kijiji ikikusanya maoni ya wananchi. Je hao wa kwako uliwahoji lini na wapi?
kama wewe ni mwanachama wa chama fulani ni lazima ukubaliane na masharti ya chama hicho, vinginevyo afadhali kukaa bila chama, wanachofanya baadhi ya wabunge wa ukawa wanaohudhuria bungeni ni usaliti ulio wazi dhidi ya chama chao na umma kiujumla.Wabunge wa ukawa wanatamani kurudi bungeni lakini viongozi wao wanawazuia hapo demokrasia iko wapi?
Ukawa ni genge la wahuni.
..haa haa we wasema, lakini watu wenye uchungu na nchi hii na wazalendo wanajua ukweli ulivyo. Kule dodoma watu wanafuata posho na sio vinginevyo.Tatizo la Ukawa mnadhani kuwa mna akili kuliko wengine.
sisi tupo, kama wewe huwajui shauri yako, waliopo dodoma wanawawakilisha wachumia tumbo na wachakachuaji wenzao.Khaa hivi hawa UKAWA wanawawakilisha wananchi gani?? Mbona mimi siwatambui??
ni kweli mkuu, hapo ni mshiko na uchakachuaji na si kingine!UKAWA wanawawakilisha wananchi waliotoa maoni yao mbele ya Tume ya Marekebisho ya Katiba. Kwa sasa Fisadi Sitta haongozi kikao cha BMLK, anaongoza kikao cha walafi wa posho, wanafiki na mafisadi ambao wako tayari kusaliti maoni ya Watanzania kwa kipande cha fedha cha laki tatu.
teh teh, mkuu wananchi gani wengi wanaoamini mbili ndiyo bola?mbona nyie mlioona mfumo wa serikali tatu munajiimanisha kuwa ndiyo wananchi wa taifa hili kuliko wale ambao ndiyo wengi wanaoamini kwamba serikali mbili ndiyo bola?
mkuu watu wako after money na matumbo yao na si vinginevyo! Chezea milioni 18 wewe? Mwigulu alianza kugeukwa na wenzake baada ya kutetea pesa za walipa kodi zinazoliwa na wachumia tumbo huko dodoma!Hivi BMK linapoendelea na vikao wana maana gani wakati wanajua akidi haitatosha kufanya maamuzi?
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.
..haa haa we wasema, lakini watu wenye uchungu na nchi hii na wazalendo wanajua ukweli ulivyo. Kule dodoma watu wanafuata posho na sio vinginevyo.
Hao magamba wana roho ngumu kweli, tegemeo lao kubwa ni kuwapata akina Yuda Iskariote ndani ya ukawa, kete hiyo wanayocheza ikishindwa (kama ambavyo dalili za wazi zinavyojionyesha) basi CCM itajizolea aibu ya kwanza kubwa kuliko zote, tokea chama hicho kiundwe mwaka 1954!Hivi BMK linapoendelea na vikao wana maana gani wakati wanajua akidi haitatosha kufanya maamuzi?
Huyo mchina uliegawiwa bado hujamzoea tu !!!?