Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Kuna hatari ya mapandikizi yaliyochomekwa kwenye vyama vya siasa haswa vile vinavyounda UKAWA yakarejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.
CCM huenda ikayapoteza mapandikizi hayo ambayo itachelewa kuwasiliana nayo kwa jinsi gani watawalipa lakitatu za bungeni. Mapandikizi hayo ambayo ni CCM itawawia vigumu kukaa nje wakiwa kama UKAWA wakati wanazitamani lakitatu.
Sasa kila atakaerudi fahamu kuwa ni pandikizi la CCM na halijatiliwa hela kwenye acc.yake na siku zinapita hesabu ya lakitatu aliyopiga inapungua kwa hiyo ni bora arudi bungeni.
Vyama vinavyounda UKAWA vitafaidika sana kwa kuwatambua na kutambua walikuwa wanaishi na chui alievaa ngozi ya kondoo. Tuzidi kuvuta subira.