Mapambano ya wapalestina vs ezraen na cdm vs ccm

Status
Not open for further replies.

Myanguneni

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
1,192
Reaction score
276
Ndugu wana jamvi,poleni pilikapilika za kutafuta maisha, kwa muda mrefu sasa dunia inashudia mauaji ya kutisha dhidi ya watoto na kina mama kule GAZA, mauaji yanayofanywa Taifa linaloitwa teule la Mungu JEHOVA,mungu ambaye moja ya sifa zake ni kuwa ni mwenye huruma kwa watoto na kina mama, lakini cha kushangaza kuna makundi hapa Duniani yanajifanya yana wajibu wa kulinda na kutetea haki za binadamu , hata wakawa na kauli kali na vitisho dhidi ya serikali mbalimbali Duniani dhidi ya haki hizo mf, haki za ndoa za jinsia moja kuoana,haki za mama na motto, haki za kuishi na nyinginezo.

Sijawahi sikia makundi haya kwa nafasi yao kutoa japo kauli tu ya kulani mauaji yanayofanywa na Ezrael dhidi ya watoto na kina mama Je ina maana watoto wa kipalestina sio watoto?.ama lengo bandiko langu hili ni kupima uzito wa haki na wajibu wa wapalestina kujilinda dhidi ya mateso na madhira yanayofanywa na taifa linalojiita teule la mungu,na zile harakati zinafanywa na wapenzi na wanaharakati wa vyama vya siasa hapa inchini, imekuwa ni desturi kwa watu wasioitakia mema palestina kuwalaumu kwamba kwa nini wanajitoa muhanga na kuwaua Ezrael, au Hamas kwa nini wanatumia maroketi kuwashambulia Waezrael, lakini hawajiulizi kwa nini wafuasi wa CDM au CCM wako tayari kupoteza uhai wao kwa kutetea vyama vyao?.

Kwa maneno mengine kwa mtazmo wa makundi haya kupoteza maisha kwa kutetea maslahi ya vyama vya CDM au CCM ni bora zaidi kuliko Hamas kujilinda na kudai Taifa huru la palestina,iweje wanaokufa ama kupata misukosuko katika vyama vya siasa mf CDM huitwa kamanda na CCM cjui anaitwa nani lakini kwa Hamas anaitwa Gaid? .

karibuni tujadili wadau.
 
Acha unafiki. Kule Syria Assad, Al Nusra na FSA wanaua kina mama na watoto daily na kuning'iniza vichwa vya watu wasio na hatia kwenye miti ikiwemo kusilubu watu kwenye miti. Mbona hujawahi kuleta thread hapa kulaani hayo wanayofanya hao wa Syria na uje ulalamikie Israel tu? Au unadhani mwenye haki ya kuua kina mama na watoto ni Wasyria tu akiua Israel unapaza sauti? Acha unafiki.
 
Ndugu wana jamvi,poleni pilikapilika za kutafuta maisha, kwa muda mrefu sasa dunia inashudia mauaji ya kutisha dhidi ya watoto na kina mama kule GAZA, mauaji yanayofanywa Taifa linaloitwa teule la Mungu JEHOVA,mungu ambaye moja ya sifa zake ni kuwa ni mwenye huruma kwa watoto na kina mama, lakini cha kushangaza kuna makundi hapa Duniani yanajifanya yana wajibu wa kulinda na kutetea haki za binadamu , hata wakawa na kauli kali na vitisho dhidi ya serikali mbalimbali Duniani dhidi ya haki hizo mf, haki za ndoa za jinsia moja kuoana,haki za mama na motto, haki za kuishi na nyinginezo.

Sijawahi sikia makundi haya kwa nafasi yao kutoa japo kauli tu ya kulani mauaji yanayofanywa na Ezrael dhidi ya watoto na kina mama Je ina maana watoto wa kipalestina sio watoto?.ama lengo bandiko langu hili ni kupima uzito wa haki na wajibu wa wapalestina kujilinda dhidi ya mateso na madhira yanayofanywa na taifa linalojiita teule la mungu,na zile harakati zinafanywa na wapenzi na wanaharakati wa vyama vya siasa hapa inchini, imekuwa ni desturi kwa watu wasioitakia mema palestina kuwalaumu kwamba kwa nini wanajitoa muhanga na kuwaua Ezrael, au Hamas kwa nini wanatumia maroketi kuwashambulia Waezrael, lakini hawajiulizi kwa nini wafuasi wa CDM au CCM wako tayari kupoteza uhai wao kwa kutetea vyama vyao?.

Kwa maneno mengine kwa mtazmo wa makundi haya kupoteza maisha kwa kutetea maslahi ya vyama vya CDM au CCM ni bora zaidi kuliko Hamas kujilinda na kudai Taifa huru la palestina,iweje wanaokufa ama kupata misukosuko katika vyama vya siasa mf CDM huitwa kamanda na CCM cjui anaitwa nani lakini kwa Hamas anaitwa Gaid? .

karibuni tujadili wadau.
kule iraq ISIS wa kiislam wamewafukuza wakristo wote, waliobaki wanalazimishwa kusilim, ama la wanalipishwa kodo kwasababu tu wao sio waislam. mbona hamjalaani hata mara moja hili? mnaiona gaza tu.
 
Baada ua 9/11 Gaza walifanya sherehe kwenye mitaa yao kusherehekea vifo vya watu zaidi ya 3,000 hujo marekani sasa wanataka sisi tufanyeje sasa juu yao??????Acha wachee KICHAPO
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom