Miss Champagne
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,157
- 6,309
Kuanzia chini kwenda juu si safari rahisi kwa mtoto wa kike, hasa Afrika.
Ni wachache sana wanaofanikiwa bila vikwazo lukuki. Ila kuna wengine ni vikwazo mwanzo mwisho.
Kikwazo kikubwa zaidi ni kutumiwa kimwili ikifuatiwa na unyanyasaji kutoka mfumo dume.
Mfano: Mtoto wa kike anahangaika chuo kusoma awezavyo akakomboe kwao, yanatokea ya kutokea kwenye mitihani na marks kupata haki yake anaombwa rushwa ya ngono ama apotee.
Anahimili yote akimaliza hapo bado maofisini kunamngoja..kupata ajira atoe mwili au akafe njaa uraiani halafu ukute ana familia inamtegemea hadi wadogo zake.
Ukipata kazi bado mfumo dume utamkandamiza, boss atamla aendelee kufanya kazi na kupanda vyeo kinyume na hapo kazi hana
Mama analazimika kulala na boss ili tu aendelee kufanya kazi wanae waishi vizuri.
Anapitia risk nyingi mno ikiwemo magonjwa.
Bintia huna pa kuanzia unaomba msaada kwa mwanaume unaambiwa "njoo nlipo uchukue"
Hiyo kauli nadhani inaeleweka kifuatacho!
Wengine inabidi wajisacrifice, wasaliti wapenzi wao mradi tu watoke kwenye dhiki.
Mwenyezi Mungu atusaidie wanawake wote tunaopitia haya.