Kama ameweza kupelekea mswada wa Vyama na ukapita kwa siku moja anashindwaje kupeleka mswada wa Mahakama ya Mafisadi ..............!!?
Leo unauamini utafiti wa mabeberu, kesho wakisema Magufuli anaiendesha Tanzania kidikteta usisite kutujuza.Kwa mujibu wa Taasisi inayofuatilia na kutafiti juu ya Rushwa duniani Transparency International Tanzania imeweza kuingia Top 100 kati ya nchi 180 zilizofanyiwa utafiti kuhusu Rushwa.