Acheni kulalamika maana tukiwaambia kesho tuamkie barabarani hakuna wa kukubali
asituzingue nini alikuwa hakijui hapo
nimeshangaa kusikia kuna mwingine anakwenda mahakamani kuhoji uhalali wa BMK kuitupa rasmu
hawa watu wameshibika hela wanataka tuwaone kuwa maana leo !
Acheni kulalamika maana tukiwaambia kesho tuamkie barabarani hakuna wa kukubali
Kweli kabisa,sisi ni wagumu kuchukua maamuzi tunalalamika tu