Mapaja ya black beauty , I have never seen such condition...

Mapaja ya black beauty , I have never seen such condition...

kuna jamaa yangu anatokea dar sasa akawa amepata ihungo high school, anasema alikulaga chakula cha uko mpaka sasa anatamani kuhamia mkoa huo, anadai eti hata alipoondoka kagera mpaka leo hajawai kula viatmu kama vile, mm nachekaga tu, mke ni mke ayo mengine ni kuwa mmeathirika kisaikolojia tu!
 
Kweli wanaume tuna kazi....hapa tukimaliza rangi tutarudi kwa vimo....tukifika kwenye unene na wembamba sidhani kama kutakuwa na wawili njia kuu.
 
Black is hot and beautful bwana wenye thermometer siku nyiiingi tunalijua na hata usajili ulizingatia hilo, msije niita mbaguzi bure, that is through my experience.
 
Weusi na JOTO is what we call blacks beautness!
though natokea kanda ya "wapenda vyeupe" bt my choice will remain untouchable! hata wifi/shem yenu is really a blackbeauty!
 
[/B]
1235978_511558732265929_301049892_n.jpg

yap yap.. Design kama hiyo..
 
Back
Top Bottom