Kwa wale wateja wanaopata menyu mchana hapa Port View Pub kwenye mzunguko wa kuelekea Bandarini, mmeona wapo mabinti wameajiriwa kujifungua nguo? Wanaweka mapaja nje na kuwaangalia wateja wanapingia na baadhi wanakimbilia wateja kuwapa maelezo ya chakula. Mabinti wadogo wanatumika kutengeneza biashara hapa.
Mambo ya mujini Dari Salamaa. Chukua tahadhali.
Nakuja sasa hivi,ukiona liVX kilimo kwanza jua bishanga kaingiza timu.
Nakuja sasa hivi,ukiona liVX kilimo kwanza jua bishanga kaingiza timu.
wewe kweli muhaya kusikia paja kiroho papo
cc Madame B my wife
pole sana mkuu ukubwa jiwe huo mitego ya mujini..
Madame B sio toto ya Bukoba, tena umkome kabisa shemeji yangu kwa Ben Saanane
Kumbe mapaja yana uwezo wa kuvutia wateja! Sikua najua hili. Nina kaduka kangu kamedorora, ngoja nichinje kuku nitundike mapaja yote mawili juu ya mlango wa kuingia dukani! Kumbe mambo ni rahisi hivyo jamani!
Asante. nakusubiri Heaven on earth!ukiweka hayo mapaja duka litadorora x2
ngoja nije nikueleze ni mapaja gani ngoshwe anamaanisha