Mapafyumu bin uturi

Mapafyumu bin uturi

mama yu

Senior Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
143
Reaction score
42
Habari wanajamvi.Najua wengi wetu ni watumiaji wa manukato.Nisaidieni kujua ni pafyumu au spray gain ya kike inayonukia vizuri ili nikanunue.Si mnajua manukato ni moja ya njia ya kumkonga moyo husband!
 
Now days kuna varieties kibao za perfume aisee na harufu pia inategemea mtu na mtu
 
Dada kanunue Misk, dah mimi huwa napakwa misk bana daah

Just like the old days
 
Habari wanajamvi.Najua wengi wetu ni watumiaji wa manukato.Nisaidieni kujua ni pafyumu au spray gain ya kike inayonukia vizuri ili nikanunue.Si mnajua manukato ni moja ya njia ya kumkonga moyo husband!

Weka tone kidogo kwenye papuchi kabla ya tendo nusu saa kabla.Utaniambia hatalala
 
mama yu una mambo weyensasa husband yuko shigt ya usiku leo au shost manaake ungetakiwa uwe nae cha pili sasa au umembana konani anyway

MIMI NAPENDA HIYO KITU ILA INANIUMiza nina chris adam ya kike ila ji cheap japo ina haruf nzuri na nyepesi kama unakerwa na harufu kali you can use it
 
Shosti tunalea,leo watoto wametuganda hawataki kwenda kulala.tunasubiri walale.
 
Tumia valcontras inauzwa laki nane(800000)ni nzuri.jamaa ataipenda.
 
Habari wanajamvi.Najua wengi wetu ni watumiaji wa manukato.Nisaidieni kujua ni pafyumu au spray gain ya kike inayonukia vizuri ili nikanunue.Si mnajua manukato ni moja ya njia ya kumkonga moyo husband!

Kwenye perfumes unaweza kununua kati ya hizi, mind you ziwe EDP;
Allure (Chanel) - imetulia vizuri sanaaaa.
La Vie este Belle (Lancome) - ni toleo jipya kidogo ipo sweet ila ni nzuri (My latest lover)
Flower Bomb (V&R)- safi sana pia.
Cinema (Yves Saint Laurent)-amazing scent ya zamani ila ni perfume iko njema sana.
Cesare Paciotti for her - just wow!! top touch

They all speak of muted elegance.
 
Back
Top Bottom