sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Aliyewatwaa ni vyombo vya dola vilivyojaa rampant corruption and malfeasance in enforcing road safety rules.Bwana alitoa bwana ametwaa.
Aliyewatwaa ni vyombo vya dola vilivyojaa rampant corruption and malfeasance in enforcing road safety rules.
Think about it, kwanini Mungu wa Huruma "ametwaa" katika mazingira ya kikatili ya kuwakanyaga na matairi ya malori ndani ya gari dogo? Kutoa katoa kwa amani, umezaliwa kwa amani na utulivu, lakini kutwaa anatwaa kwa violence utadhani jasusi la Al Qaida, how do you explain that Mr. Preacher?
Mapadri wanne raia wa Italia wa kanisa katoliki,wamefariki dunia ,baada ya gari walilokuwawakisafiria kupata ajali.
Ajali hiyo ilitokea jana saaa 5v asubuhi katika eneo la Ruvu kwa zola wilaya ya kibaha,mkoani pwani baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori.
Kamanda wa polisi wa mkoa huo amedhibitisha kutokea kwa jali hiyo na kusema miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali teule ya tumbi wilayani humo na kuwataja mapadri hao kuwa ni Sylverio Ghelli(72), wa parokia ya pugu aliye kuwa akiendesha gari walilokuwa wakisafiria,Mapadri wengine waliofariki aliwataja kuwa ni Corrad Trivivelli,Luciano Baffgi na aliye fahamika kwa jina moja la Andrea.
Alisema mapdari hao walikuwa wakitokea katika dayosisi ya kongwa mkoani Dodoma kwenda parokia ya pugu,jijini Dar es salaam na wote walikuwa kwenye gari dogo aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba za usajli T903 ACQ .
Bwana alitoa bwana ametwaa.
Aliyewatwaa ni vyombo vya dola vilivyojaa rampant corruption and malfeasance in enforcing road safety rules.
Think about it, kwanini Mungu wa Huruma "ametwaa" katika mazingira ya kikatili ya kuwakanyaga na matairi ya malori ndani ya gari dogo? Kutoa katoa kwa amani, umezaliwa kwa amani na utulivu, lakini kutwaa anatwaa kwa violence utadhani jasusi la Al Qaida, how do you explain that Mr. Preacher?
Aliyewatwaa ni vyombo vya dola vilivyojaa rampant corruption and malfeasance in enforcing road safety rules.
Think about it, kwanini Mungu wa Huruma "ametwaa" katika mazingira ya kikatili ya kuwakanyaga na matairi ya malori ndani ya gari dogo? Kutoa katoa kwa amani, umezaliwa kwa amani na utulivu, lakini kutwaa anatwaa kwa violence utadhani jasusi la Al Qaida, how do you explain that Mr. Preacher?
humo kwenye red and bolded: kuna haja ya wakati mwingine kujua kile unachokiandika mkuu. vinginevyo watu wanaweza kuacha kusoma au kufuatilia unachokiongelea hata kama pengine kina ukweli. hauko sahihi ktk hayo na hapo mtu anaweza kuhoji ukweli wa 'religious affiliation' ya wahusika wa ajali hiyo