mapacha watatu wabakia wawili tu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Lile kundi la mziki wa boringo lililo jizolea umarufu mkubwa hapa bongo na nje ya nchi la mapacha watatu hatimae limesambaratika baada ya mmoja wao kujitoa.
kundi hilo lilikua linawajuhusu
1.jose mara
2.Halid chokoraa
3.Kalala juniour.
Kwa sasa kalala amejitoa na kuwaacha wengine.
Lakini bado wanasisitiza kwamba band itaendelea kuitwa mapacha watatu.
kumbuka hadi chaz baba alijitoa kwenye hilo kundi kabla.
cha ajabu sasa hivi siwaoni kabisa hapa mzalendo kinyama.
Ni hayo tu. Mia
 
Watu hawataki kusema kweli ila mjini watu waanataka jina kwanza ndo pesa!sasa kalala atakuwa ameona kule jina linafifia kuna uwezekano akarudi twanga!!Twanga wabishi wataenda watarudi...
 
Lile kundi la mziki wa boringo lililo jizolea umarufu mkubwa hapa bongo na nje ya nchi la mapacha watatu hatimae limesambaratika baada ya mmoja wao kujitoa.
kundi hilo lilikua linawajuhusu
1.jose mara
2.Halid chokoraa
3.Kalala juniour.
Kwa sasa kalala amejitoa na kuwaacha wengine.
Lakini bado wanasisitiza kwamba band itaendelea kuitwa mapacha watatu.
kumbuka hadi chaz baba alijitoa kwenye hilo kundi kabla.
cha ajabu sasa hivi siwaoni kabisa hapa mzalendo kinyama.
Ni hayo tu. Mia

Wataendelea kuwa Mapacha watatu, kuna back vocalist wao anaitwa January Mdoe, wamempandisha kuwa sehemu ya Mapacha watatu...
 
mmi najiuliza twanga na watu wao kibao wanachemsha sasa hawa watatu kwa nyimbo zipi? wawe wakweli tu, jose mara arudi zake FM Academia, na khalid chokoraa amrudi kulekule kwenye ile bendi iliyomtoa mwaka 2003, yaani Extra Bongo, mbona hata Ally Choki, mara ya kwanza extra ilimshinda akarudi Twanga? Banza nae alichemsha akarudi Twanga, Muumin kachemsha akarudi Twanga, haina mbaya mtoto mpotevu kurudi nyumbani after all itakuwa win-win situation kwa wote twanga na chokoraa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom