otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 100
- 135
Uzi ufungwe.Triplets
Upo sahihi kabisa,Triplets
Upo sahihi kabisa,
Wakiwa wanne wanaitwa Quadruplets "'quads''
Wakiwa watano wanaitwa Quintuplets ''quints''
Naunga mkono!Uzi ufungwe.
SIyo IVo BhanA,Ni QubIC🤒Triplets
Au ulitaka kusema cubic?SIyo IVo BhanA,Ni QubIC🤒
🥴UtaELewA Tu TaraTIiibuAu ulitaka kusema cubic?
AtaKaSha Ni MCHawiKama mapacha wawili ni
two= tw(ins);
then;
watatu itakua
three= thr(ins);
Hivyo basi wataitwa THRINS
AU NIMEKOSEA NDUGU ZANGU?
Upo sahihi mkuu ila ni kwa huko Kijijini kwenu.Kama mapacha wawili ni
two= tw(ins);
then;
watatu itakua
three= thr(ins);
Hivyo basi wataitwa THRINS
AU NIMEKOSEA NDUGU ZANGU?
Naona umenunua simu mpya,inakusumbua kwa kuingiza capital letters automatic.AtaKaSha Ni MCHawi
Kulwa,Dotto na Shija.
Simu ni ileile 🤣🤣🤣🤣🤣Naona umenunua simu mpya,inakusumbua kwa kuingiza capital letters automatic.