Mapacha wasamehewa kunyongwa -Baada ya mmoja kukutwa na Unga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapacha wasamehewa kunyongwa -Baada ya mmoja kukutwa na Unga

Discussion in 'International Forum' started by Shadow, Feb 9, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Vipi hii scenario ingetokea Tanzania? Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu yupi afungwe kati ya hawa mapacha?

  Malaysian twins spared death row

  Malaysian identical twin brothers have escaped hanging for drug trafficking as a court failed to decide which brother was the criminal, and cleared both.

  A judge in the capital, Kuala Lumpur, said the case was unique and she could not send the wrong person to his death.

  In 2003 police arrested one brother found driving drugs to a house. The second twin arrived soon afterwards and was also arrested.

  Neither officers nor a DNA test could identify which twin owned the drugs.

  Sathis and Sabarish Raj, 27, cried in court when they heard the judge say that the prosecution had failed to prove which twin had been arrested first with a car containing 166kg of cannabis and almost 2kg of raw opium.

  According to the New Straits Times, the judge told the court: "I can't be calling the wrong twin to enter his defence. I can't be sending the wrong person to the gallows."

  Execution is mandatory for convicted drugs traffickers in Malaysia.


  BBC NEWS | Asia-Pacific | Malaysian twins spared death row
   
 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Shadow hii kesi kali!!!, nimecheka mwenyewe. Kwa sheria popote pale hata TZ, inategemea na mazingira, utetezi, sheria iliyokuwepo wakati huo, hukumu iliyowahi tolewa kwa kesi kama hiyo nk, hivyo huwezi sema kwa hawa mapacha ingekuwaje. Lakini kwa TZ, wakiwa Polisi wangeminywa mpaka mmoja agekubali ndio alitenda kosa. Manake wengi TZ hukubali makosa sababu ya kuteswa, wakifika mahakamani wanakana, sasa ukikana unaporudishwa tena rumande, hayo mateso yake yanazidi kuwa makubwa kwa kudai unawasumbua. Kuna watu hukubali makosa bila kuyafanya sababu tu ya mateso wayapatayo. Hivyo kesi kama hiyo ingeendeshwa TZ kwa uhuru, nadhani Hakimu angewaachia kama huyo wa Malaysia.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,691
  Trophy Points: 280
  Uliyoyasema Mfumwa ni kweli tupu, lakini inashangaza kuona Mafisadi hawajaminywa ili kueleza jinsi walivyohusika kuchota mabilioni ya pesa. Inaelekea wametembeza ngawira ili waepuke viminyo hivyo.
   
 4. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Heshima mbele Mfumwa,

  Kwa hiyo Tanzania Suspect rights is equal to Zero. Unaweza kuta mtu anahukumiwa kifungo kwa sababu ya mateso na si kwamba amekubali kwa ridhaa yake.

  Kuna haja ya kuweka taratibu bora za kumlinda mtuhumiwa. Marekani kuna kanuni inatwa 'Miranda', asili yake hikiwa kwenye suala la 'due process' kwenye katiba yao(5th Amendment). Kanuni hii wengi wetu au wote tulishaisikia kwenye sinema za kimarekani ambapo mshukiwa utakiwa kuambiwa haki zake kabla ya kukamatwa( "You have the right to remain silent. If you give up the right to remain silent, anything you say can and will be used against you in a court of law. You have the right to an attorney. If you desire an attorney and cannot afford one, an attorney will be obtained for you before police questioning.")

  Je tunaitaji kuboresha sheria za jeshi la polisi na sheria za ushaidi? kumbuka katiba imeweka wazi kwamba someone is innocent until proved guilty" je tunaweza kukokotoa kuanzia hapo kwenye katiba kuboresha haki za watuhumiwa?

  Shadow.
   
 5. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Bubu ataka kusema,

  huoni kwamba huko kutakuwa kuvunja sheria za haki za binadamu? Mimi nafikiri suala ni kulifanya jeshi letu la polisi liwe la kisasa kuweza kukabiliana na white collar crimes kama za EPA. waweza kufanya kazi yao kitaalamu hata pale inapofika mahakamani basi ujue mtu kutoka si raisi.

  Ikishindikana, basi tuanzishe kitenge maalumu kama cha UK - SFO kilichotuibulia Chenge kutoka chini ya kapeti.

  Shadow.
   
Loading...