Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Watu tunataka kuona bhanaaa....๐๐๐๐๐ tupo wengi
Watu tunataka kuona bhanaaa....๐๐๐๐๐ tupo wengi
Ana kiherehere huyo ka mkojo wa asubuhi Atoto ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Mambo mengi ata muda wa kusoma vitu virefu haupatikaniWatu tunataka kuona bhanaaa....๐๐
Kama me nimescroll kutafuta picha nkakutana na reply yako .Me hata sijasoma,..nilikuwa naangalia kama ntaona hata kapicha...
Woiii๐ ๐ ๐ mambo mengi muda hautoshiiiiiiMambo mengi ata muda wa kusoma vitu virefu haupatikani
Kahlan๐Kama me nimescroll kutafuta picha nkakutana na reply yako .
Kahlan
Upo bibie...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maana habari ndefu hata haiishi.Umbea wakuona mapacha jomonii[emoji23][emoji23][emoji23]
Chaaa๐๐๐๐leo zamu yangu kwa mume shuti nichelewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona unachelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aaah aiseee umeboa balaa shuain zako
Watu tumechoka kusoma wosia lol๐๐Maana habari ndefu hata haiishi.
Saaana,..kama cha kwanzaHivi mkojo wa asubuhi una kiherehere eeh?
Naomba akae huko mwezi mzima tafadhali.Chaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo zamu yangu kwa mume shuti nichelewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Saaana,..kama cha kwanza
Mfyuuuuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cha kwanza kinini hicho?
Nipo dear,mambo tu mengiUpo bibie...
Pole na hongera my dear...Nipo dear,mambo tu mengi