Mapacha walioungana wapewe ushauri

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
2,702
Reaction score
3,839
Wanajukwaa salaam.
Nimefurahi mno mara baada ya kuona taarifa kwamba wale mapacha walioungana wamefaulu mtijani,Mungu ashukuriwe.

Ninachoona kwa sasa ili kuinua afya ya taaluma yao na mustakabali wa maisha yao ni vyema wakashauriwa juu ya taaluma ambayo wataisomea"CARRIE COUNSELING "Ingawaje walisema wanapendelea kuwa walimu lakini ushauri ni muhimu kwao tena sana.

Ushauri huo utawasaidia zaidi kutokana na maumbile yao na aina ya kazi watakayosomea,wataalam wanajua zaidi.

Nia yangu ni nzuri nisishambuliwe.
Ahsante
 
duh hongera yao kwakweli Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda!
 
Kweli inabidi wasome course zinazofanana hatakama walikua na ndoto tofauti ,joseverest
 
Mungu awaongoze katika maisha Yao

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…