Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,378
Mimi nauliza wewe unashangaa kwa nini mdau?Duh! Asee
Mimi nauliza wewe unashangaa kwa nini mdau?
combi gani vile?Wapo
Maisha ya hawa mapacha ni changamoto kubwa!Watakapofikia umri wa kuolewa bila shaka watakubali wote waolewe na mtu mmoja kwani haiwezekani kila mmoja kuwa na mume wake!nikitaka kuoa mmoja, unakuwaje?
wana Tukuyu 2 au moja tu?Maisha ya hawa mapacha ni changamoto kubwa!Watakapofikia umri wa kuolewa bila shaka watakubali wote waolewe na mtu mmoja kwani haiwezekani kila mmoja kuwa na mume wake!
Sijui ila mm niliona video yao siku ya mahafari yaocombi gani vile?
Unajiuliza kuhusu kuolewa?
Jiulize mmoja akifariki vipi mwingine atakuwa hai?
Je akiwa hai....unafikiri marehemu atazikwaje?
Mimi ni pacha ila nashukuru ckuzaliwa kama huwa wenzangu...
Mkuu hawa watoto wana tumia moyo mmoja ndo mana sometimes wanapumua kwa shida kwahiyo watakufa kwa wakati mmoja(hatuombi litokee)Unajiuliza kuhusu kuolewa?
Jiulize mmoja akifariki vipi mwingine atakuwa hai?
Je akiwa hai....unafikiri marehemu atazikwaje?
Mimi ni pacha ila nashukuru ckuzaliwa kama huwa wenzangu...
Mkuu hawa watoto wana tumia moyo mmoja ndo mana sometimes wanapumua kwa shida kwahiyo watakufa kwa wakati mmoja(hatuombi litokee)
Kwenye hili nahitaji picha nijiridhishi pmj na kua na kumbu kumbu ya mbali juu yao.Mkuu hawa watoto wana tumia moyo mmoja ndo mana sometimes wanapumua kwa shida kwahiyo watakufa kwa wakati mmoja(hatuombi litokee)