mapacha jamani

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
wakuu habari,baada ya miaka mitano nikimpata mke mwema hapa jf nategemea mungu atatujalia mapacha,naomba mnisaidie majina jaman nahisi mmoja atakua wa kike mwingine wa kiume,mie nategemea wa me nimwite pemba na ke nimwite unguja,nisaidie nawe....
 
subiri ukisha mpata huyu manmke na ukisha mtia mimba ndo uje utuombe ushauri, maana saivi ni sawa na biashara yakuuziana mbuzi kwenye gunia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…