Sababu ya kwanza ya watu kutojaa ni wamepandisha kiingilio, pili wameongeza gharama za parking mwaka jana tulipaki kwa 4,000 lakini mwaka huu tumepark kwa 10,000/- pia kule kwenye michezo ya watoto wamepandisha eti ni 5,000/- mwaka huu. Yaani wamenoboaaah!