Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
ohooo..watu sabasaba wanaianzia kuanzia tarehe moja kwenda huko, am sure weekend palijaa, siku ya leo watu wanapumzikaga tu and am sure vingi vimeisha ndani
Kwa mujibu wa nilichokishududia siku mbili tatu nilizoenda pale bado hakuna uchangamfu kama ki[indi cha siku zilizopita.
Kweli mkuu dhumuni la with kwenda 77 ni kununua vitu kwa bei chee, Na wakati mwingine hivyo vitu mtaani vilikuwa havionekani.Kwa sasa nenda kariakoo, Tandika Na kwingine nako ni 77 ya kila siku Na unaingia bila kiingilioshida things are just too expensive, sijajua dhumuni la 7-7 in regards to pricing, inatakiwa kuwa cheaper siku hiyo au same price au expensive..cause mtu unaenda na dhumuni la kununua kitu unakuta its the same price as dukani (so what is so special about 7-7 then?!) so unaishia kubeba flyers, kuangalia wanyama, kununua tshirts fulani nzurii (all th way frm A-Town tsh 7000,10,000), kukaa kunywa soda alafu huyoo unaondoka zako..
Kweli mkuu dhumuni la with kwenda 77 ni kununua vitu kwa bei chee, Na wakati mwingine hivyo vitu mtaani vilikuwa havionekani.Kwa sasa nenda kariakoo, Tandika Na kwingine nako ni 77 ya kila siku Na unaingia bila kiingilio
Mi nilifika pale parking nikaambiwa ku park ni elfu 10,000 na kiingilio ni elfu tatu kwa kuanzia umri wa miaka 6 hadi kuendelea.Nilikuwa na familia mimi na wife na watoto 3 na ndugu 2..Niligeuza gari nikasepa kurudi mjini kati sikurudi tena.Kuna tatizo, ama viingilio wameweka vikubwa mno...!?