Wahame chadema
Duh!
VIEWS 418 replies 8.
Teh teh
Huyoo mleta uzi huu amepost huku amebwiaa ugoro
Mkuu yamedoda!Kabla ya kufunguliwa kwa maonyesho ya 41 ya sabasaba kwenye viwanja vya Mwl Nyerere, mafisadi na mawakala walikuwa wameshaeneza taarifa kuwa hayo maonyesho yatadoda ,sasa watu leo wamefurika
Kiukweli maonyesho.yamedoda sanaKabla ya kufunguliwa kwa maonyesho ya 41 ya sabasaba kwenye viwanja vya Mwl Nyerere, mafisadi na mawakala walikuwa wameshaeneza taarifa kuwa hayo maonyesho yatadoda ,sasa watu leo wamefurika
kiinhilio ni 3000 kama mwaka jana ...inawezekana mwaka jana uliingia kama kabinti na mwaka huu umeingia kama mtu mzima.Sijawai kukosa saba saba nilienda jumatano ki ukweli mwaka huu yameshuka sana sana hakunajipya la kusisimua kiingilio bado tatizo pia
We itakuwa ndo mara yako ya kwanza kufika sabasaba kwahiyo wala hufahamu miaka ya nyuma ilikuwa vp!!!
"Mlitamani" akina nani?!Mlitamani padode lakini wapi!
Am fineHow are you darling...
Ukweli wenyewe ndo huo... sijui kama wanafahamu hali ilivyokuwa miaka ya nyuma ukilinganisha na mwaka huu!!!Waliotoka kolomije mwaka huu ndo hawa
Narudia... hujui situation ilivyokuwa miaka ya nyuma!Mpaka muda huu watu bado wanatoka uwanjani. Ni wengi sana
Raha ya kujua kusoma na kuandikaKabla ya kufunguliwa kwa maonyesho ya 41 ya sabasaba kwenye viwanja vya Mwl Nyerere, mafisadi na mawakala walikuwa wameshaeneza taarifa kuwa hayo maonyesho yatadoda ,sasa watu leo wamefurika
Umenena...Raha ya kujua kusoma na kuandika