Nyie watu kwa nini kila siku mnahangaika na chama kinachoshuka umaarufu kila siku? Kweli tafiti nyingine ni za uongo na zinathibitishwa na hamaki za wana CCM dhidi ya CHADEMA!Chadema
Kwel kabisa hata mimi nimeenda leo watu walikua wengi sana ila kiingilio ndo kinapanda kila mwaka..Kabla ya kufunguliwa kwa maonyesho ya 41 ya sabasaba kwenye viwanja vya Mwl Nyerere, mafisadi na mawakala walikuwa wameshaeneza taarifa kuwa hayo maonyesho yatadoda ,sasa watu leo wamefurika
We itakuwa ndo mara yako ya kwanza kufika sabasaba kwahiyo wala hufahamu miaka ya nyuma ilikuwa vp!!!
Kabla ya kufunguliwa kwa maonyesho ya 41 ya sabasaba kwenye viwanja vya Mwl Nyerere, mafisadi na mawakala walikuwa wameshaeneza taarifa kuwa hayo maonyesho yatadoda ,sasa watu leo wamefurika