ceteris1
Member
- Aug 29, 2016
- 71
- 32
NIMEONA TANGAZO KWENYE GROUP LA WHATSAPP JUU YA UZINDUZI WA BIDHAA ZA KILIMO
MAHALI/;- chuo kikuu dar es salaam mkabala na UDASA Club.
SIKU:- JUMAMOSI,DESEMBA 10,2016.
Ila nimeshindwa kujua jinsi ya kushiriki mimi kama mjasiliamali na nimekosa kupata anwani zao ili kuweza kuwasiliana nao na kujua taratibu za kujiunga.
je kunamtu yeyote anae fahamu ?? nisaidie tafadhali.