Anajisafisha mwenyewe anachohitaji ni kupewa tu muda.Subiri Uone mambo itakavokuwa.Lowassa alikuwa anakitetea chama sasa hivi liwalo na Liwe.
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Kama watu wanachagua chama na sio mtu, ule mvuruganao wote wa Dodoma ulikuwa wa nini? Kwanini msikubaliane moja kwa moja kwa vile mnachagua chama?Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Kumsafisha itataka uwe na moyo wa chuma.
Ajira ni tatizo TZ, hili sio issue kwa timu Lowassa, kwa ujira kidogo tu watapata jobless wa kutosha wa kuwatetea. Ila sitegemei mtu mwenye akili timamu,asiyenufaika na chochote kushabikia kilichofanywa na CDM na Ukawa.
Dr.Slaa asipong'atuka nitamuona mpuuzi wa mwisho TZ,
I feel bad kwa wanasiasa vijana, kwani Lowassa ameshawatia najisi ingali bado wabichi kabisa kwenye siasa wengine hata re-election ya ubunge hawajapata bado.
Sasa hivi ghafla bin vuu wako upande mmoja na fisadi mkuu na timu yake yote ya Marafiki ( hapa hesabu Chenge, Karamagi, Tibaijuka, Rostam...naaa KINGUNGE)
Duh, siasa kweli hazifai,heri yetu tunaoishi kwa kutumia vipawa alivyotupa mwenyezi,huku kuishi kwa kutegemea nyota au matukio mwisho wake ndio haya...,
November 2015 kutakuwa na Jobless wa kutosha hapo Dar.
final Episode. time duration two month.Wewe Umeona Mbali. Na Anakoelekea Sasa Yale Yote Aliyomezea Ili Mradi Tu Abaki CCM Na Kupewa Nafasi Ya Kugombea Atayatema Na Watu Kibao Wataumbuka. Though Sijui Sasa Tupo Season Ya Ipi Wala Episode Gani
Mkuu vipi tena mbona umehamanika hivyo, si jana tu nimekwambia humu kuwa si Dr. Slaa ukawa mbogo umeona sasa leo yametimia? Haya sasa na wewe hama.Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM ni bora niende na Ukawa tu. This year i must vote and i can't vote for CCM, never.
Wabunge vijana wengi nawaonea huruma sana, unless 70% ya wabunge mainland watoke Chadema kupunguza ukakasi utakaojitokeza. Visiwani wapewe CUF yote, NCCR na NLD wapewe 30% ya majimbo ya Tanzania bara. I think this will be fair.
Ukawa waje na sera za kuikomboa Tanzania toka wimbi la umasikini.
Magufuli anakura milioni 26.92Sisi tutaichagua Ukawa ikimpitisha Lowasa,lowasa anakura milioni 10
Kwanin umewa-underestimate wananchi kiasi hivyo?
Lowassa akishindwa kwenye uchaguzi mkuu mtamlaumu nani?