OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Lowassa akishindwa kwenye uchaguzi mkuu mtamlaumu nani?
Kumsafisha itataka uwe na moyo wa chuma.

Tatizo ni maadili yake tu, wala siyo suala la kaingia lini kwenye chama...!

Lowassa hawezi kuwa raisi. Labda kama sio CCM niijuayo. Hapa afe NEC afe mpiga kura CCM lazima ilinde kiti. Wapiga kura wenyewe Wa kupewa kofia na kanga wamesarenda? Vijana wapiga kelele nao wana njaa mwanzo mwisho wakipewa buku 20 tu wameuza kura. Tanzania bado sana kuitoa CCM kwakuwa ndio ina dola, watz bado njaa sana (meaning maadili yameporomoka kuanzia ngazi ya mtu binafsi so wanashawishika kwa vitu vidogo), kutoeleweka kwa upinzani Leo wana agenda hii kesho wanaipinga wenyewe, na Lowassa mwenyewe ni lateral representation ya uchafu.
EL hajasimama mwenyewe kwenye maamuzi haya. EL kasimamishwa na KITENGO kwa kazi maalum kuua Ukawa. Anaelekea kutekeleza kazi aliyotumwa.

Sisi tutaichagua Ukawa ikimpitisha Lowasa,lowasa anakura milioni 10