Maono ya ajabu sana sana!

Maono ya ajabu sana sana!

Unafikiri wewe ni wa kwanza kuwa "USA citizen" sio? Huo ni ulimbukeni wa hali ya juu.

Hivi Nikuulize hasira yako ni nini hasa? Kwani unamjua niliyemwota? Huoni ni uhayawani kumtukana Mtu kisa tu Kasimulia Ndoto? Suppose ningekusimulia ile niliota ya Kijana mmoja akibebwa na Mafisi wawili na kwenda kumfukia Mburahati? Utanitukana? Nimekukosea nini? Ikiwa wewe sii mmoja wa hao fisi wawili?
 
Wenye bahati mbaya ndo usiku wa manane tunauona huu uzi..aisee nijifunike shuka mie
 
Maiti zaidi ya 2 hafiki.
[HASHTAG]#waganga[/HASHTAG] wa kienyeji

Poleni watanzania, poleni watumishi mungu atawajibia tu.
 
Hivi Nikuulize hasira yako ni nini hasa? Kwani unamjua niliyemwota? Huoni ni uhayawani kumtukana Mtu kisa tu Kasimulia Ndoto? Suppose ningekusimulia ile niliota ya Kijana mmoja akibebwa na Mafisi wawili na kwenda kufukia Mburahati? Utanitukana? Nimekukosea nini? Ikiwa wewe sii mmoja wa hao fisi wawili?
Mkuu huyo ni mgonjwa wa akili mpotezee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom