Maono ya ajabu sana sana!

Maono ya ajabu sana sana!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,815
Juzi Jumamosi Kuamkia Jumapili niliota Ndoto ya Maono ya Ajabu sana, sana

Kuna Mwanasiasa ambaye wa aina yake Alikula nyasi, lakini huyu yeye Mungu atamnyanyua Fasta Fasta! Sababu hasa ikiwa Kutumia Ushirikina huku akimtaja Mungu, Kumchanganya Mungu na Matunguri na Kutoa Makafara!

Simsemi Mtu ila Kama anajijua Ananafasi ndogo Kama Ukucha Kutubu! Heeeee Mbona Itakuwa Taharuki? Niliona sikia Ngurumo kubwa sana, sana, ya radi iliyoambatana na Maneno makali yakitokea angani, Sauti yake Utadhani ni ya Maspika Makubwa 1000! Kisha ile sauti Ikakoma ghafla, Nikamwona Mtu, simtaji jina ila nilimtambua, Akiwa amesimama amezungukwa na wapambe! Ni ajabu hakusikia Makelele yote yale! Nkiwa bado nimestaajabu! Mawingu yakaanza kutanda, Watu wakaanza Kuondoka, Akapaza sauti, "Msiondokeee hii mvua itapitaa, Jamani msiondokee hii mvua Itapitaaa!"

Ghafla Mvua Kubwa sana Ikashuka Angani, Matone yake yalikuwa kama maji Machafu! Ilipofikia
Kimo
cha Mabega yake, yale matone ya mvua yakafanya U turn kama Parabola, Yakamchota na Kupaa naye angani huku yakimviringa Viringa. Hakuna hata tone moja liligusa ardhi.

Ilikuwa Taharuki! Giza likatanda sana Na watu wakakimbia Pande zote kwa hofu!
Nikajiuliza kwanini mvua, kwanini iwe chafu, maji yanakataje kona na Kupanda angani tena! Nikasikia jibu moyoni, Ni mvua ya Machozi, ni Mvua ya Damu! Nikajiuliza How! Kutokea wapi? Na inampeleka wapi?
 
Mfa maji haachi kutapatapa. Rudini mashambaini mkalime tu maisha yataendelea
 
Rakims apite hapa atupe tafsiri ya hii ndoto...
 
Mkuu kuna ndoto nyingine ili uote ni mpaka uwe umevimbiwa kande..sasa kabla ya kuota ndoto ulikula nn?
 
Juzi Jumamosi Kuamkia Jumapili niliota Ndoto ya Maono ya Ajabu sana, sana

Kuna Mwanasiasa ambaye wa aina yake Alikula nyasi, lakini huyu yeye Mungu atamnyanyua Fasta Fasta! Sababu hasa ikiwa Kutumia Ushirikina huku akimtaja Mungu, Kumchanganya Mungu na Matunguri na Kutoa Makafara!

Simsemi Mtu ila Kama anajijua Ananafasi ndogo Kama Ukucha Kutubu! Heeeee Mbona Itakuwa Taharuki? Niliona sikia Ngurumo kubwa sana, sana, ya radi iliyoambatana na Maneno makali yakitokea angani, Sauti yake Utadhani ni ya Maspika Makubwa 1000! Kisha ile sauti Ikaisha, Nikamwona Mtumsimtaji, Akiwa amesimama amezungukwa nanwapambe! Ni ajabu hakusikia Makelele yote yale! Nilishangaa! Mawingu yakaanza kutanda, Watu wakaanza Kuondoka, Akapaza sauti, "Msiondokeee hii mvua itapitaa, Jamani msiondokee hii mvua Itapitaaa!"

Ghafla Mvua Kubwa sana Ikashuka Angani, Matone yake yalikuwa kama maji Machafu! Ilipofikia
Kimo
cha Mabega yake, yale matone ya mvua yakafanya U turn kama Parabola, Yakamchota na Kupaa naye angani huku yakimviringa Viringa. Hakuna hata tone moja liligusa ardhi.

Ilikuwa Taharuki! Giza likatanda sana Na watu wakakimbia Pande zote kwa hofu!
Nikajiuliza kwanini mvua, kwanini iwe chafu, maji yanakataje kona na Kupanda angani tena! Nikasikia jibu moyoni, Ni mvua ya Machozi, ni Mvua ya Damu! Nikajiuliza How! Kutokea wapi? Na inampeleka wapi?
Mkuu katika kipindi hiki utaota sana si unajua tena mimba ikiwa bado changa!!!
 
Mkuu katika kipindi hiki utaota sana si unajua tena mimba ikiwa bado changa!!!

Ni vigumu Hermaphrodite kama wewe kujua huwa Wanaume wakoje! Kwa kuwa Una sehemu zote za Jinsia na zote zinafanya kazi Unadhani Wanaume wote Nihivyo! Nakuhakikishia you are one out of millions. Ila sikunyanyapai hukujiumba!
 
Nakuja Tz! Hata July Nilikuwa hapo! Eti najificha Nikimwogopa Nani? Mimi ni US Citizen huyo coward anajua Kitachompata Akiniletea Fyoko fyoko na Anajua akinishitaki ataumbuka! The guy is Stupid but not so bad to undermine his a%*!
Huna lolote wewe mpuuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom