GE2025 Maono: Mgombea sahihi wa CCM 2025 ni Josephat Gwajima

GE2025 Maono: Mgombea sahihi wa CCM 2025 ni Josephat Gwajima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,938
Reaction score
41,098
Salaam!

Nimesikia speech ya Leo ya Askofu Gwajima, nimeona

1. Uongozi,

2. Maono.

3. UWEZO WA kuunganisha makundi yote na uongozi thabiti.

4.Weledi wa Hali ya juu.

5. Uthubutu.

6. Uzalendo na upendo wa Hali ya juu kwa nchi.

Na kwa kuwa ameshauri reforms zifanyike ndani ya chama na serikali kuruhusu pia CDM iingie kwenye uchaguzi,

Mtu sahihi wa kuingia ulingoni kupambana na Tundu Antipas Lisu na kushinda tokea chama Cha majani mabichi, ni Yeye pekee Josephat Gwajima,

Tafadhali tujisahihishe before it is too late.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Nawasilisha 🙏
 
Mkuu usije kumpa basha mwanao aliyekunya amchambe.

Ohooooo utajuta.
 
Mnec Josephat Gwajima apewe kijiti atuvushe
 
Tafadhali tujisahihishe before it is too late.
Naunga mkono hoja.

Wamebakiza mda mchache wa kujisahihisha!

Kama huwa wanaiona hasira ya Mungu huko kwingine kwenye nchi zingine tu au hawajawahi kuiona hasira ya Mungu,wakaidi kufanya reforms halafu samia ajiteue kuwa rais 2025-2030 kama anavyodanganywa na genge lake.
 
Naunga mkono hoja.

Wamebakiza mda mchache wa kujisahihisha!

Kama huwa wanaiona hasira ya Mungu huko kwingine kwenye nchi zingine au hawajawahi kuiona hasira ya Mungu,wakaidi kufanya reforms halafu samia ajiteue kuwa rais 2025-2030 kama anavyodanganywa na genge lake.
Wakimleta Gwajima ashindane na Lissu,

Ccm itashinda kihalali
 
Back
Top Bottom