MAONO: Kuna watu watu wamebarikiwa maono hapa duniani

Abramovic

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
324
604
Wakuu salaam,

Katika Dunia hii kila mtu ana karama yake aliyojaaliwa na Mungu lakini kuna baadhi ya wenzetu wanatisha.

Hebu muangalieni huyu jamaa na maono yake.

c8f6a7109482089e0efc90099edcefb2.jpg
134699e45daa09c9e7557dd5dcbbfbb9.jpg


Toa mtazamo wako juu ya huyu jamaa
 
Mkuu jaribu kuwa unachunguza kabla ya kuleta post humu huyo bwege anacho fanya ni kuedit post alizozipost miaka ya nyuma sasa huwo utoto jaribuni kuwa mnauacha huko huko fb na badoo!
Inawezekana mkuu ikawa edited kweli, lakini mi nijuavyo Facebook ukiedit post inaandika chini pale kua "edited"
 
Wakuu Salaam,
Katika Dunia hii kila mtu ana kalama yake aliyojaaliwa na Mungu lakini kuna baadhi ya wenzetu wanatisha. Hebu muangalieni huyu jamaa na maono yake.

c8f6a7109482089e0efc90099edcefb2.jpg
134699e45daa09c9e7557dd5dcbbfbb9.jpg


Toa mtazamo wako juu ya huyu jamaa
Hatuwezi kukuamini hata kidogo labda tukijitoa akiri
ili tukuamini, "weka link ya hizo jumbe tukasome wenyewe"
 
Nimetafuta jina lake na Mimi nijionee nimekosa
Jina lake lipo nimelitafuta dkk 20 zilizopita nikatafuta izo post huku nikiwa nimeandaa 20000 tigo pesa kumpongeza lkn naishia kuona kapost picha za akina lily wayne na c.brown post za maandishi nyingi zinahisiana na kunadi hadithi inaonekana mtunzi wa vitabu vya hadithi ila sijaona izo post zilizowekwa kwenye huu uzi
So naona km uzi wa kuchangamsha kijiwe tu,uthenge
 
Back
Top Bottom