Maoni ni kitu gani kila mtu anamaoni yake baada ya kupokea kitu au ujumbe inategemea ujumbe huo ukoje na umefikaje huwezi kuwaladhimisha watu wafanane na wewe sio lazima tufanane kila kitu na ikitokea mtu na mtu wanafanana ipo tofauti hata iwe ndogo tujifunze vitu vingi ili tumudu maisha yetu hatakama ukijaribu ukashindwa kunawakati unarazimika kufanya jambo leo hii ni jambo la kawaida mtu kujisifia uchafu na watu wanamfurahia in sema jambo kwenye hili uzoefu unaonyesha watu kutafsiri jambo hata kama hawajalijua lakini ndo maisha huwezi kuwazuia nawapongeza sana wote waliotoa maoni yao tutumie mitandao ya jamii KWA faida na sio hasara asanteni
Sent using
Jamii Forums mobile app