Maoni yenu wakuu

Joined
Jul 14, 2019
Posts
42
Reaction score
22
Hbar zenu wadau! Kwa ufaulu wa wa advance level physic,"d",bios,"c",basic applied mathematics, "E"
Naweza kupata kozi ya MULTIMEDIA TECHNOLOGY AND ANIMATION udom msaada tafadhalii wakuu
 
Soma guide book.

Ila unapata kama kutakuwa na competition unaomba tena round zinazofuatia ukitoswa.
 
Naomb Mawazo yako bro!
We omba kwani ukisoma qualification kwenye hicho wanasemaje? Coz hua zipogo kwenye website za vyuo sifa za kujiunga nao.

Fanya kucheki kwenye website yao, ukishindwa chukua mawasiliano yao uwacheki uulize direct, kama upo karibu nenda chuoni kabisa.

Kama hawatakupokea basi fanya kusaka chuo kingine mkuu.

Ila wasiliana na hao UDOM, usipende sana mseleleko wa kupata majibu chap huku mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…