Koment kama izi ndo anataka !!tafuna nyapu iyo bradha ila kumbuka urafiki wenu utaishia hapo na mtaonana wabaya
Sawa sioni haja ya wewe kunipanikia kias icho isitoshe binti hajaja bado, na piah sina mazoea sana kama unavyodhani, isitoshe sivuti bangi ila nimeomba ushauri kwa waugwana humu.Stress zako hazinihusuAcha bangi, Ongea na mchizi wako kama kweli ni mwanao !!
Inavyoonekana mmeshachatishanaaa sana namna hii
Wewe---- Jamaa Itakuaje
Demu wajama--- mmhh kwan utamwambia
Wewe-----siwezi mwambia ila akijua umefikia kwangu bila taarifa
Demu wajamaa-- hawezi kujua bana ,wacha nifikie kwako siku tatu basi .
KUTOKA KWANGU MIMI
[emoji117] Acha bangi zako, kama kweli unataka ushaur ,USHAURI WA KWANZA ULIKUA NILAZIMANUUPATE TOKA KWA RAFIKI YAKO KIPENZI , nasio kufanya mambo kibububu alafu uzuge kuja kutafuta Ushauri humu ili upate mawazo mfu ya kuhalalisha upuuzi unaotaka kumfanyia Rafiki yako.
Ulivyoandika sasa, utadhani kama mtu mwenye busaraaaaaa lkn hizo busara unashindwa kuzionyesha kwa Rafiki yako.
NINAJUA KAMA RAFIKI YAKO ANGEIJUA IYO SAFARI ,,,WALA USINGEKUJA OMBA USHAURI HUMU.
ALAFU NN, KUMUWAZIA UJINGA DEMU WA RAFIKI YAKO NIMOJA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZAKIUME !!!.
MDANANDA KABISA!!
Asante mkuu umenishaur vyemaKama unania ya kumtafuna mkalibishe tu.. ila kama hauna hiyo nia.. mpotezee usijalbu kumkalibisha
Huna lolote mkuu ,huwezi kuja kuomba ushauri humu ili hali Unayemwita Rafiki yako HAJUI.Sawa sioni haja ya wewe kunipanikia kias icho isitoshe binti hajaja bado, na piah sina mazoea sana kama unavyodhani, isitoshe sivuti bangi ila nimeomba ushauri kwa waugwana humu.Stress zako hazinihusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks bossUkiwa huna nia mbaya hata akikaa siku 10 hutajinajisi jina lako bali utamlinda kwa sababu ya huyo rafiki yako. Yawezekana kakuheshimu sana na kukuona kuwa utamheshimu rafiki yako kwa kumlinda. Yu never know with women. They just trust like kids trusting their fathers when alone.
Asante mkuu sikatai mawazo yako nimekuelewaHuna lolote mkuu ,huwezi kuja kuomba ushauri humu ili hali Unayemwita Rafiki yako HAJUI.
huo ni unafiki wa Hali yajuu sana !!
Najua hampendi ukweli ,ila ukweli ndo huoo.
Eti wanakushaur umtafune ndio wenye busara hahahahah .
ACHA UDANANDA...MIMI NITAKUONA WA MAANA IKIWA JAMAA YAKO UMEMSHIRIKISHA .
......Lkn hizi ni mbwembweee km zilivyo mbwembwe nyingine.
Mimi naww tuwe marafiki.......alafu uwe unawasiliana na dem wangu kimya kimya..mpaka demu wangu aje afikie kwako kimyankimya, akae siku tatu kimyakimya ,ndipo arudi????? ...and ninauhakika Hata Huyo demu hajawahi kuja ktk huo mkoa wako ,,maana km angekua keshawah, tayar jamaa angekua natarifa,, angekua anajua wapi dem anafikia ,na anaenda kufanya nn.
Acha mbwembwe
Sawa je ni sahihi mimi kumkaribisha mpenzi wa rafiki angu pasi na kutokuepo mambo mengne? Yaan tu kwa hali ya kawaida ni sawaUnahisi atakumega? Si utamkatalia tu maana mwili ni wako
Asante mkuu ushauri wako nimeuelewa si kama baadhi ya mchangiaji mmoja alivyoniquote na kuelewa ndivyo sivyo.Just do it in good faith. Itakuuma sana kama shem akija kukukumbusha siku moja kuwa; Nilikuwa na shida mjini kwako ukaniziria.
Mtu hajawa mke wa mtu, uhalali wa kumwita mke unatokea wapi.Ni kama vile unatafuta kauhalali kwa hicho unachotaka kukifanya.
Huwa sifanyi mazoea ya ajabu ajabu na mke wa mtu aiseee maana najua ukiendekeza kubali kwa lolote litakalotokea
Kijana ukimbamiza hutakuwa na hatia yoyote kwake kwa sababu bado hajaolewa huyo, pia huyo mshikaji wake hana uhalali wowote wa kumwita mke wake coz hajamwoa bado.Asante mkuu ushauri wako nimeuelewa si kama baadhi ya mchangiaji mmoja alivyoniquote na kuelewa ndivyo sivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie amwambie mpenzi wake halafu mpenzi wake ndiyo amuombee ruhusa ya kuja kulala hapo.Sawa je ni sahihi mimi kumkaribisha mpenzi wa rafiki angu pasi na kutokuepo mambo mengne? Yaan tu kwa hali ya kawaida ni sawa
Sent using Jamii Forums mobile app