Maoni yangu: Wakuu wa Polisi watoke JWTZ

Maoni yangu: Wakuu wa Polisi watoke JWTZ

Hapo ni kuchanganya X na Y Jwtz hakutani na walala hoi lakini amini na kuambia jukumu la kukutana kila siku na wananchi haliwezi kukuacha salama ukikamata mwizi upande wa aliyeibiwa utafurahi lkn upande wa pili na ukoo wake wote watakuchukia na kinyumechake.
Hapo tatizo ni mmomonyoko wa maadili taifa lipo kwenye mpito kila sekta imeingiliwa na jamii iliyo kengeuka mbaya zaidi mpaka kwenye vyombo vya Dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom