Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Hakuna mind game huku unaichufua taasisi na watumishi wakeKama sio mind game, MANARA APZIKE SASA AJE MTU MWENYE WELEDI ZAIDI.
Kama hana kifua kikubwa basi hafai.Kwa kaliba ya Haji ulitegemea anyamaze?
Mo aliwahi kusema kuwa yeye sio Haji so hawezi kuropoka, kwa maana hiyo hata Mo anajua Haji ni mtu wa namna gani, ametoa vumbi ndani mwake hivo kwasasa yuko salama.
Kama ni mind game itakua ya kishamba sana. Ina damage taasisi yao wenyewe kuliko kuleta manufaaKama sio mind game, MANARA APZIKE SASA AJE MTU MWENYE WELEDI ZAIDI.
Mkataba mzuri uko mezani kitambo ila hataki kusaini akiamini anastahili zaidi ya huo hivyo kaamua kupokea huo wa kujitolea..Kumbe jamaa analamba laki saba tu kwa mwezi
Uwa anapata marupurupu kutoka kwa mashabiki kwa kupewa mia 5, elfu 1, elfu 2, elfu 5 na hata elfu 10!Mkataba mzuri uko mezani kitambo ila hataki kusaini akiamini anastahili zaidi ya huo hivyo kaamua kupokea huo wa kujitolea..
Haiwezekani mkuu wa idara ulipwe laki saba.
Unajua hata mm nilikuwa nimeliona hilo la kumpa yule Mzee hela ule ni usanii tu pale umefanyika .Uwa anapata marupurupu kutoka kwa mashabiki kwa kupewa mia 5, elfu 1, elfu 2, elfu 5 na hata elfu 10!
Ukuona wakati anamkabidhi Mzee Mpili ile ahadi yake kulikuwepo na mchanganyiko wa noti za 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000
Kama mikia wanafanya mind game, itakuwa ni upumbavu wa karne ya 18 huko........Kama sio mind game, MANARA APUMZIKE SASA AJE MTU MWENYE WELEDI ZAIDI.
Laki 5 na kitu baada ya makatoKumbe jamaa analamba laki saba tu kwa mwezi