Maoni yangu kuhusu uchawi na kifo cha msanii Sam

minded tips

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
502
Reaction score
871
Na minded tips

ngoja niende kwenye mada moja kwa moja
Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k., ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.....wa watu husika kwa kifupi sana nataka kugusia kitu muhim ambacho unatakiwa kukijua.....

KWA WALE MSIOAMINI UWEPO WA UCHAWI MUNGU ANATUSIBITSHIA KUA UCHAWI UPO.
KTK BIBLIA
-kumbukumbu ya torat 18:9-13
-wagalatia 5:19-21
-isaya 8:19
-walawi 20:27
-Ezekiel 13:18
- walawi 9:31

KATIKA QUR AN
-21: 3 qur an
-34:43
-43:30
-74:24
- 17: 47

ushaelewa apo juu???? sasa kama bado unabisha ushawi hakuna bishana a mungu wako na ktk huo mdahalo mm simo

JE NI JINSI GANI AU KWA NJIA GANI UTAJUA KUA UGONJWA WAKO UNATOKANA NA UCHAWI AU KULOGWA?

kwa kawaida mungu humjulisha mja wake kua kuna watu wanamloga kwa kupitia ndoto sasa watu wengi shida ni kua hawajui jinsi ya kutfasil ndoto ukweli kila ndoto ina maana yake nakumbuka niliweka post ya tafsil za ndoto na nikagundua kua watu wengi wanafanyiwa mambo ya kushilkiana bila hata wao kujua so kuanzia leo ukiwa unaota ndoto zinazokutisha au kukimbizwa elewa hizo sio dalili nzuri na unatakiwa kuchukua hatua.....

NGOJA NIGUSIE KIDOGO KUHUSU KIFO CHA SAM WA UKWELI MSANII KUTOKA KIWANGWA.

Ni msanii aliyetamba na nyimbo yake inayokwenda kwa jina la sina raha na zamani sana aliwahi kuimba wimbo unaoitwa "hata kwetu wapo" wimbo huu kuna sehem ktk mashairi yake ktk kiitikio unasema
"wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu hata kwetu wapo so ukinichukia sishangai peace and love ninajua binadam ndivyo walivyovyo"

na ktk wimbo wake mpya na wa mwisho kabla ya kifo chake ambao ni jana tu nimeusikiliza kwa kweli umenitoa machozi maana alikua anaimba huku analia ktk yale mashiiri yake kuna sehem anasema
" amani ya mungu idumu kwangu mimi idumu kwa wengne na wote pia
nilikua nipo hoi kitandani jamaniiiiiiiiiiiiii
walioniona ukweli hawakuamini
kuna wengne hawakujua nini kinachonisumbua
kuna wengne walivumisha kusema ana ngoma(hapa ndio akawa analia)
kuna wengne mtaani hata marafk hawakuja kuniona
kumbe hawakujuaaaaaaa
hawakujua kuna mazingara na uchawi
binadam moyoni huwezi jua walimwengu hawana sili hawafai "

vipi umeng'amua chochote ??

sam alijua kua kinachomsumbua ni uchawi na nina uhakika kabla ya kua mgonjwa alianza kuota ndoto kwanza ambazo mungu alimpasha habari kua analogwa lakini ndo ivyo tena inawezekana hatua zake kulihusu tatizo kulihusu tatizo zilikua hazina nguvu zaidi ya zile nguvu za uchawi alizonazo mwilini.....mwake

USHAHIDI WA NDOTO KIFO KABLA YA KIFO CHA MUHUSIKA.

ktk shule ya secondari niliyosoma mimi ambayo pia nisingependa kuitaja kwa jina na ni huko bagamoyo rafik yangu ambaye pia ni ndugu tuliotoka shule ya msingi darasa ka kwanza mpaka la 7 tena kijiji kimoja anayeitwa majuto kingaru alikufa kwa kuzama mtoni ktk mto wame ambao huo mto umepita ktk kijiji kilichokua na hiyo shule .. na ni karbu na kwa kina samu wa ukwel(kiwangwa)
majuto kabla ya kifo chake siku kama 7 nyumba alikua akiota ndoto za ajabu sana ila alikua akimwambia mdogo wake ambaye pia alikua anasoma nae ktk hiyo shule anayeitwa siwazuri habari hiz za ndoto siwa alizieleza wazi baada ya mazishi ya kaka yake majuto... kilichotustusha ktk kile kifo ni baada ya maiti kuokolewa masaa machache baada ya majuto kuzma ktk ule mto kua ina damu nyingi Na hakuna jeraha what is this??? wenye akil imeelewa hapa
nitachotaka kusema hapa ni kua KUWENI MAKINI NA NDOTO MNAZOOTA USIKU MKUBWA NA KAMA NDOTO INAKURUDIA RUDIA SEMA KWA UNAOAMINI KUA WANAUWEZO WA KUKUTAFASILIANA.

Sawa nmekuelewaa,mfano Mimi huwa naota kwamba kuna vita kubwa afu Mimi napambna thn napaa angan Yani kama ndege vile afu hii ndoto ni mara Kwa mara naota kama sio kila siku,je nini ishara ya hii ndoto?
 
Mkuu unaweza thibitisha vipi pasipo kuwa na shaka kuwa Sam alilogwa?
 
Mtu unataka nyama kwa nyama unawaona wanaotumia mipira kama mandezi flani hivi

Ukiambiwa mpenzi naogopa tutumie mpira unadai ooooh haina utamu, mie nataka utamu, then ukidaka megawatts za kutosha unakuja kutuchosha na myths za uchawi

Africa tutaendelea kua bara la giza daima
 
Na pia kuna wale hata wakitumia mpira ila mchezo unageuka vita yaaan kung'atana kila upande wenyewe wanaita love bites, mtu anatoka kwenye mchezo kama katoka vitani yaaan mwili mzima upo kama kenge kwa alama za meno na kucha. Halafu unakuja kutuambia ooooooh uchawi mweeeeeh only Africa aiseeee
 
Mtu unataka nyama kwa nyama unawaona wanaotumia mipira kama mandezi flani hivi

Ukiambiwa mpenzi naogopa tutumie mpira unadai ooooh haina utamu, mie nataka utamu, then ukidaka megawatts za kutosha unakuja kutuchosha na myths za uchawi

Africa tutaendelea kua bara la giza daima
Mkuu Kuna Dozi Siku Hizi, Watu Huishi, Miaka hata Zaidi Ya Ishiririni, Hamna Wanaoondoka Kwa Ngoma
 
Sasa mkuu sasa mtu ukishaweka mentality ya kwamba umelogewa megawatts utatumia dawa??? Wanaotumia dawa wanajua fika kua ni sahihi na wanaishi muda mrefu tu

Ila hizi mentality za kulogewa megawatts ndio zinafanya watu wafe kwa msongo wa mawazo ilihali anajua fika alikua mashine ya maangamizi likija swala la sita kwa sita
 
Jamaa alikua anatumia ARV kumbe na hazikufanya kazi

Source mtu wake wa karibu through clouds
 
Wacha kudanganya watu mkuu minded tips , sisi tumeota ndoto za kutisha tokea tukiwa watoto wadogo na sasa tumekuwa madingi na wakati mwingine naota hizo ndoto na bado tunadunda. Sikatai kama uchawi upo, lakini siyo kweli kwamba eti ndoto za kutisha ni sababu ya uchawi.

Unajua nini mkuu, ninyi watu wa Bagamoyo wengi wenu mnaamini sana mambo ya kishirikina kiasi kwamba akili zenu zimezingirwa na ushirikina, hamuoni wala hamuelewi, kila kitu kikitokea mnaamini ni ushirikina tu.
 
Sawa nmekuelewaa,mfano Mimi huwa naota kwamba kuna vita kubwa afu Mimi napambna thn napaa angan Yani kama ndege vile afu hii ndoto ni mara Kwa mara naota kama sio kila siku,je nini ishara ya hii ndoto?
Kuna watu wanakufanyia uadui hapo katika mafanikio yao na shughur zako ila huwa unaokolewa na viumbe vilivyo katika mwili wako mizimu hasa iliyo upande wa umamani

Ila bado hawajakuweza kila wakija wewe unapazwa kwahyo wanakuta ndani empty na hyo vita bado ni ndefu na nia yako kukushusha hapo ulipo katika kazi yako

Na ukiangalia katika shughur zako kuna ka uzito na kunawatu hupatani nao na chokochoko zimeanza muda s mrefu ndani ya miez mitatu nyuma

Shughurukia hilo tatizo
 
Ndicho wa Africa mnakijua sana, badala ya kuchapa kazi nyie 24/7 mnawaza uchawi tu

Ooooh mara kulogwa, mara kutafutwa kiuchawi sijui kupalizwa... Ptuuuuw mnazidi kudidimia kwenye umasikini kwa upuuzi wa namna hii
 
Marehemu alikuwa na obsession na uchawi... Na automatically akajiundia roho ya kurogwa na ikawa roho kamili iliyomletea madhara makubwa mpaka kifo....
Ramli chonganishi na waganga bandia pia wamechangia sana kwenye hili... Kumuaminisha marehemu kuwa karogwa na pengine wamempuna pesa nyingi tu kwa ahadi ya kumsaidia lakini badala ya kumsaidia wakawa wanamlisha sumu mbaya ya kuwa kuna watu wanazidi kumroga kila uchao ili asipone...
 
Back
Top Bottom