Maoni yangu ili kuzuia ajali za barabarani

Wilinasi Petroleum

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
207
Reaction score
201
Kwako waziri wa mambo ya ndani,
Mheshimiwa Kangi Lugola.

HAYA NI MAONI YANGU ILI KUZUIA AJARI ZA BARABARANI

Ajari za barabarani, zimeongezeka sana siku hizi, zimekua zikitafuna, ndugu zetu wengi sana. Madereva wamekuwa wakipukutisha ndugu, zetu, kitu ambacho kina punguza nguvu kazi ya taifa.

Zifuatazo ni sababu zinazo pelekea ajari za barabarani zitokee,

(1) Madereva kutumia madawa ya kulevya na pombe,
madereva wengi wanavuta bangi, wengine wanatumia, pombe kabla, wakati hata baada ya kuendesha, hizo zinawafanya wasiwe makini wakati wa kuendesha magari yao. Mfano madereva wa maloli wengi sana ni watumiaji wa nadawa ya kulevya.

2) Madereva kuendesha magari wakiwa wamechoka na pia wakiwa na usingizi, Madereva wengi wanao enda umbali mrefu, huwa wanachoka badala ya kwamba wapumzike hujilazimisha kuendesha gari hivyo hivyo jambo ambalo huwa pelekea wasababishe ajari.

4) Kuendesha magari kwa kasi kubwa na kuto fuata sheria za barabarani,

3) Kuendesha magari mabovu,
madereva wengi wamekuwa wakiendesha magari mabovu, hawaya fanyii sevisi kabla ya kuendesha kitu ambacho hupelekea mengine breki zifel na kusababisha ajari.

4) Utoaji wa kafara unao tokana na imani za kishirikina,
hili linahusu wamiliki wa hayo magari hasa mabasi. Usafirishaji ni biashara kama biashara zingine, na siku zote biashara inapokua na ushindani, huwafanya watu kutumia nguvu ya imani ya kishirikina, ili wafanikiwe katika biashara ndipo hapo wafanya biashara wengi huingia mikataba na imani hizo ambazo huwapa masharti ya kutoa kafara za kuua, ndugu zao, au abiria wa kwenye mabasi yao,

Ili kuondoa ajari hizi ningeomb serikali ifanye haya mawili.

(1) Bunge litunge sheria dereva atakaye sababisha ajari yoyote ile, ya gari au pikipiki bila kuua, akamatwe afungwe kifungo cha maisha, kama huyo dereva, atakufa kwenye hiyo ajari mmiliki wa hiyo gari au pikipiki afungwe kifungo cha maisha badala ya dereva wake, na kesi kama hii ikifikishwa mahakamani hukumu yake ifanywe haraka bila kuchelewa, maana ni kesi ya kujaribu kuua. Hili litakua fundisho kwa madereva wote, Tanzania na wala mtu ambaye hayuko makini hatojaribu kuisogelea kazi hii, na wala ajari hazito tokea tena.

(2) Bunge litunge sheria dereva atakaye sababisha ajari yoyote ile, ya gari au pikipiki na kuua, akamatwe ahukumiwe kunyongwa maana ni muuaji, kama huyo dereva, atakufa kwenye hiyo ajari mmiliki wa hiyo gari au pikipiki ahukumiwe kunyongwa badala ya dereva wake, na kesi kama hii ikifikishwa mahakamani hukumu yake ifanywe haraka bila kuchelewa, maana ni kesi ya mauaji. Hili litakua fundisho kwa madereva wote, Tanzania na wala mtu ambaye hayuko makini hatojaribu kuisogelea kazi hii, na wala ajari hazito tokea tena.

3) Kuanzishwe mahakama maalumu ya kushughurikia hizo kesi za wasababisha ajari, ili hukumu zitolewe haraka.

Haya mawili yatawafanya madereva, kuwa makini wakiwa wanaendesha, na watumia pombe na, madawa ya kulevya hawatagusa hayo magari wakiwa wamelewa. Lakin pia wamiliki wa magari hawatawapa magari yao, watu ambao ni walevi na sio makini, pia, wamiliki wa magari wanao tumia imani za kishirikina kwenye biashara zao za kusafirisha, biashara hawato toa kafara za abiria wao. Kiukweli watajifunza sana.

Ahsante mheshimiwa Waziri kwa kutumia muda wako ili kupitia haya maoni.
 
Mimi nashauri kuwe na utaratibu wa kuwapima vilevi madereva kabla na wawapo safarini maana wanatumia sana madawa ya kulevya madeva.
 
Hatakuelewa kwa sasa,anadaiwa pesa ya trekta
 
Tumia address yake ya ofisini(wizara ya mambo ya ndani) ujumbe utamfikia haraka. Au kama huna sema nikuwekee hapa.
 
Utasababisha yule Baba, awaambie madereva kwamba lazima wawe na ilani ya chama chake, ili ilani ndio iwe dira yao wakiwa safarini na ndipo ajali zitapungua.... tehteehhh

Alafu jifunze kutofautisha R na L. sababu umesichanganya sana hizo herufi mbili hadi uziwako umelendemka....[emoji13] [emoji12]
 
Dereva atembee na ilani kama leseni [emoji23]
IMG_3698.JPG
 
3) Kuendesha magari mabovu,
madereva wengi wamekuwa wakiendesha magari mabovu, hawaya fanyii sevisi kabla ya kuendesha kitu ambacho hupelekea mengine breki zifel na kusababisha ajari.
Uzembe na kutokuelewa wajibu madereva wengi huwa hawatoi maji katika matenki ya upepo kila asubuhi hatima yake valvu za upepo zinajaa maji zinaua raba ndio unasikia gari limefeli breki ni eidha udereva wa uswahilini au uzembe.
 
Duhhh
Kama kweli watanzania tunafikiri hivi kuhusu ajali zinazotumaliza basi hatuta kaa tumalize tatizo la ajali. Maana tumejikita zaidi kwenye stories na si facts!,

Dereva utamfunga na kunyonga kama unavyoshauri kwa sababu tu, ni mtu wa chini kabisa na dhaifu na inapotokea ajali ni lazima ahusike ,lakini kama kuna watu walistahili kuwajibishwa na matukio ya ajali ni Tanroad , maana ndio wasimamizi wa barabara na ni jukumu lao kuzi identfy danger spots , na kutoa suluhisho la kitaalam kwa maeneo hatarishi

Ajali karibu zote zilizotokea na kuua watu , hivi karibuni , zimetokea katika maeneo ambayo ni common kwa ajali hizo, mfano mbalizi , tujiulize kwa pamoja kwa nini mbalizi toka miaka ya tisini ,zinatokea ajali mbaya mbaya tu?

Tatizo kubwa linalotukabili ni miundombinu pamoja na barabara mbovu, mbalizi na inyara pipe line kungekuwa na climbing lanes , ambalo ni jukumu la mtu wa tanroad , hakika ajali pale zingekwisha ,

Lukumburu mkoani njombe ilikuwa maarufu sana. Kwa ajali . Kwa miaka mingi kumbe kulikuwa hakuna alama yoyote ya kumtahadharisha dereva , ndo maana ajali zikawa zinatokea , alivyokuja mtu sahihi wa tanroad njombe akaweka alama za tahadhari , pamoja na matuta kadhaa , mwaka unaenda wa pili huu , sijashuhudia ajali pale .

Morogoro mpaka chalinze miaka ya tisini lilikuwa ni eneo hatari sana maeneo kama bwawani maseyu , lakini toka kumewekwa climbing lanes ajali zimepungua kwa kiasi kikubwa sana ,
Mifano ni mingi ila kiufupi ni kuwa watu wa Tanroad ndo wameshika hatima ya tatizo la ajali,
 
Dereva yeyote mzembe afunguliwe mashtaka ya mauwaji ya kimbari dhidi ya raia wa Tanzania.
 
Kwako waziri wa mambo ya ndani,
Mheshimiwa Kangi Lugola.

HAYA NI MAONI YANGU ILI KUZUIA AJARI ZA BARABARANI

Ajari za barabarani, zimeongezeka sana siku hizi, zimekua zikitafuna, ndugu zetu wengi sana. Madereva wamekuwa wakipukutisha ndugu, zetu, kitu ambacho kina punguza nguvu kazi ya taifa.

Zifuatazo ni sababu zinazo pelekea ajari za barabarani zitokee,

(1) Madereva kutumia madawa ya kulevya na pombe,
madereva wengi wanavuta bangi, wengine wanatumia, pombe kabla, wakati hata baada ya kuendesha, hizo zinawafanya wasiwe makini wakati wa kuendesha magari yao. Mfano madereva wa maloli wengi sana ni watumiaji wa nadawa ya kulevya.

2) Madereva kuendesha magari wakiwa wamechoka na pia wakiwa na usingizi, Madereva wengi wanao enda umbali mrefu, huwa wanachoka badala ya kwamba wapumzike hujilazimisha kuendesha gari hivyo hivyo jambo ambalo huwa pelekea wasababishe ajari.

4) Kuendesha magari kwa kasi kubwa na kuto fuata sheria za barabarani,

3) Kuendesha magari mabovu,
madereva wengi wamekuwa wakiendesha magari mabovu, hawaya fanyii sevisi kabla ya kuendesha kitu ambacho hupelekea mengine breki zifel na kusababisha ajari.

4) Utoaji wa kafara unao tokana na imani za kishirikina,
hili linahusu wamiliki wa hayo magari hasa mabasi. Usafirishaji ni biashara kama biashara zingine, na siku zote biashara inapokua na ushindani, huwafanya watu kutumia nguvu ya imani ya kishirikina, ili wafanikiwe katika biashara ndipo hapo wafanya biashara wengi huingia mikataba na imani hizo ambazo huwapa masharti ya kutoa kafara za kuua, ndugu zao, au abiria wa kwenye mabasi yao,

Ili kuondoa ajari hizi ningeomb serikali ifanye haya mawili.

(1) Bunge litunge sheria dereva atakaye sababisha ajari yoyote ile, ya gari au pikipiki bila kuua, akamatwe afungwe kifungo cha maisha, kama huyo dereva, atakufa kwenye hiyo ajari mmiliki wa hiyo gari au pikipiki afungwe kifungo cha maisha badala ya dereva wake, na kesi kama hii ikifikishwa mahakamani hukumu yake ifanywe haraka bila kuchelewa, maana ni kesi ya kujaribu kuua. Hili litakua fundisho kwa madereva wote, Tanzania na wala mtu ambaye hayuko makini hatojaribu kuisogelea kazi hii, na wala ajari hazito tokea tena.

(2) Bunge litunge sheria dereva atakaye sababisha ajari yoyote ile, ya gari au pikipiki na kuua, akamatwe ahukumiwe kunyongwa maana ni muuaji, kama huyo dereva, atakufa kwenye hiyo ajari mmiliki wa hiyo gari au pikipiki ahukumiwe kunyongwa badala ya dereva wake, na kesi kama hii ikifikishwa mahakamani hukumu yake ifanywe haraka bila kuchelewa, maana ni kesi ya mauaji. Hili litakua fundisho kwa madereva wote, Tanzania na wala mtu ambaye hayuko makini hatojaribu kuisogelea kazi hii, na wala ajari hazito tokea tena.

3) Kuanzishwe mahakama maalumu ya kushughurikia hizo kesi za wasababisha ajari, ili hukumu zitolewe haraka.

Haya mawili yatawafanya madereva, kuwa makini wakiwa wanaendesha, na watumia pombe na, madawa ya kulevya hawatagusa hayo magari wakiwa wamelewa. Lakin pia wamiliki wa magari hawatawapa magari yao, watu ambao ni walevi na sio makini, pia, wamiliki wa magari wanao tumia imani za kishirikina kwenye biashara zao za kusafirisha, biashara hawato toa kafara za abiria wao. Kiukweli watajifunza sana.

Ahsante mheshimiwa Waziri kwa kutumia muda wako ili kupitia haya maoni.
maoni yako yamelenga upande wa madereva tu.
mbona hujazungumzia ubora wa barabara?
mbona hujazungumzia mfumo wa ukaguzi wa magar na utoaji leseni?
mbona hujazungumzia matrafki kuwa maafisa wa TRA ?
hujazungumzia sheria?
 
Polis wanazidi kujiuwa, itungwe sheria ya kuwabana askari wanao jiuwa
 
MIMI NINAONA MAGARI YOTE IWE MALORI,BASI ZA ABIRIA ,BODABODA,TAXI N.K ZIFUNGWE MATERA!!
 
Naomba tu kuuliza jamani; hivi kwa Dar-es-Salaam kwa mfano, ni busara ya aina gani hiyo ilitumika kuzifutia leseni hiace na coasters zenye uwezo wa kubeba kuanzia abiria 15 kufanya ruti za mjini na kuziruhusu bodaboda na bajaji zenye uwezo wa kubeba max abiria 3? Hii "busara" inashangaza sana; mji umechafuliwa na hizo "takataka" kila mahali ni wao tu wanamiliki barabara!
 
MIMI NINAONA MAGARI YOTE IWE MALORI,BASI ZA ABIRIA ,BODABODA,TAXI N.K ZIFUNGWE MATERA!!
Mbona umeisahau sekta muhimu ya Bajaji ambao huwa wanahakikisha wake zetu wanafika gesti muda muafaka wakati tuko kazini
 
Ndio maana watazania tunaambiwa kuwa ni wati wenye IQ ndogo duniani kufanananisha na binaadamu wengine Duniani..

Mkuu,ajali za barabarani zitapungua pale barabara zetu zitapoweza kutoongoza,Barabara zetu zinatakiwa ziwe hadhi ya kuwa na alama za barabarani amabzo zitaweza kumuongoza dereva kutoka sehemu moja kwenda nyengine..

Kuendesha Gari Tanzania ni ugonjwa wa Kichwa,dereva inabidi abahatishe kila kitu pale anapokuwa barabarani, kwasababu barabara zinakosa alama za kumuongoza...

Ujarumani hakuna kiwango cha spidi (speed Limit)pale unapoendesha wenye kwenye njia kuu("Highway") zinazotoka jimbo moja kwenda jimbo jingine,yaani kama gari yako inauwezo wa kuendesha 280/km basi unakanyaga mpaka mwisho,lakini Ujarumani ni nchi yenye kiwango kidogo sana cha ajali za barabani duniani..

Mawazo ya Watanzania na sheria zao ni za kuwabana Raia tu,kwasababu wanapenda "short cut",watanzania ni watu ambao hawapendi kutumia akili zao kwa kufanya utafiti na kutoa uamuzi wao kutokona na tafiti walizofanya,,Hisia zimewatala katika maamuzi kuliko uhalisia..

Wadhibiti wa ajali za barabarani,(Tanroad)ndio wenye makosa,wao ndio wachukue lawama kwa ajali zote zinazotokea barabarani,sio madereva, hamna dereva anaependa kufa kirahisi kwa ajali ya barabarani
 
Hii ndiyo shida ya watu wasio na ujuzi/uelewa wowote Juu ya jambo, kujaribu kutatua tatizo linalohusu jambo hilo!
Hapa mnakwepa tu ukweli kuwa bongo hatuna barabara, tuna mifano ya barabara.....endeleeni tu kutafuta visingizio.
 
Ndo maana nimetahadhatisha kuwa kwa mawazo haya ya mtoa mada tutafunga na kunyonga watu tele na ajali bado zitaendelea kuua
 
Back
Top Bottom