Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,340
- 105,155
Kumuweka huyo dada akuhudumie tyr n kosa kubwa hata kama hana smartphone 😂Bro Mbaga Jr .
Mfano niko TZ.
Nanunua modem . Nanunua line 2 barabaran ambazo hazina jina langu Nanunua vocha za kukwangua za kutosha. Najiunga kifurush cha internet (hizi zote nafanyia morogoro mjini).
Nasafiri kwa bus usiku had Arusha. (Nimevaa miwan na kofia na siongei na mtu).
Hapo Nishanunua laptop. Nainstall VPN. Na iamrisha kuwa nikiconnect internet VPN ndio iwake kwanza.
Alaf nikihakikisha imewaka ndio nafungua mitandao yangu ya kijamii upya nikiwa Namanga au Arusha. Kwenye nyumba ambayo ndugu yangu niliyemuamini alienda kuipangisha mwez kabla. Ina fence. Na Nina bastola . Nina chakula cha mwez mzima na zaid..
Unatafuta kadada kadogo kanakuwa kanakaa ndan kukufanyia usaf na kukuhudumia 😁😁😁😁 na unakalipa vizur. Na unahakikisha Hakana smartphone .
Line ya pili ina hela ya dharula.
Alaf sasa ndio natoa siri za Sirikali.
Anyway ni ndoto tu. Mm sio polepole.
Anyway, mm naona hayo yote n ya kawaida sana na bado utakamatika japokuwa itachukua muda mrefu.
Ila hapo kwenye bastola ndo umemaliza kila kitu, wakija tuu unacheza nao za kichwa 😂