Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,623
- 10,390
Ni maoni tu. Na Sio siasa.Unaandika siasa halafu unasema hujui siasa, are you serious?
polepole alishafanya mistake tunaomba huruma ya Mama Samia msamehe huyu kijana tafadhali kesho ni fumbo kubwa
Well put mkuu. Polepole ni bwege kakamatwa kidwanziMfano ningekuwa mm.
Najiandaa na cash dollar za kutosha.
Naenda kwa gar had tunduma.
Alaf nitafute watu wa kunivusha border kimagendo ili nikae kati ya Malawi (atakuwa na marafik maana alishawah kuwa balozi) au msumbiji.
Napanga Sehem ambao hawanijui wala kujua story za TZ.
Nanunua Laptop na sim mpya na zote naweka vpn na simcard ya kule..
Ndio naanza kuinanga CCM na serikali yake.
Alaf narusha clips zangu za zaman nikiwa Cuba au kwengineko ili kuhadaa wanaonitafuta
huku napiga Spana za Live kwenye mitandao yangu ya kijamii.
Nikitumiwa Link yoyote kwa email au private kwenye mitandao ya jamii sifungui.
Yaan hata hao insta , X ,JF na Youtube hawataona niko location gan.
Ndugu wa karibu nawasiliana nao via google meets. Yaan hata namba yangu mpya simpi mke wala watoto. Wote wanitafute kwa Link ya hiyo.
Watanipata wapi?. Wala hawatajua niko wap.
Kigogo2014 had leo hawamjui ni nani wala yuko wap . Kwa zile siri zilivyokuwa zinavuja bika shaka alikuwa miongoni mwa watu wa juu kimamlaka kwenye hii nchi. Ila alikuwa smart sana.
π€£π€£π€£Unaandika siasa halafu unasema hujui siasa, are you serious?
Mwandishi ni umeandika Nini utumboUkweli usemwe.
Kakamatwa kiduanzi sana.
Na hii inanifanya kufikiria kuwa Lengo lake la awali mpaka kupelekea kuachana na Ubalozi lilikuwa lingine na Baadae akapata Lengo lingne na akakosa namna /mipango mizur ya kujilinda.
1. Lengo la kwanza ilikuwa ni kuonyesha Chuki yake ya waziwazi kwa CCM mtandao kwa kutokufuata tamadun yao waliojiwekea ndan ya CCM wa muda na kupishana kwa wale viongozi wakuu.
Alivyoingia Rais Samia. Polepole alikosa ulaji na ujasiri.
Kutoka kuwa katibu wa itikad na uenezi hadi kuwa Mbunge wa kuteuliwa na kisha balozi Malawi.
Bila shaka ilimvuruga sana akili.
Akavumilia kwasababu alikuwa anajua mwaka 2025. Ile tamadun itafuatwa Samia angeondoka na yeye angeweza kurudishwa nchini na kupewa dhamana kubwa (pengine aliahidiwa na Sukuma Gang)labda walishaandaa mtu wao.
Sasa baada ya kuona Samia anaendelea na yeye yuko nje ya mfumo ikabidi atoe la moyoni.
Na ajiuzulu.
Baada ya kutoa aliyonayo. Akaona hajapata mwamko/uungwaji mkono na wana CCM wenye nyadhifa. (Ambao labda walishajipanga akisanue ila wamemsaliti kwa kutokumuunga mkono)
2. Ndio akawa anaonyesha upande mmbaya wa serikali ya CCM . Utekaji. Kuwekwa mahabusu muda mrefu kwa wapinzani, nida kuunganishwa na inec, kashfa za Rostam, kuhoji kifo cha magufuli. na kuunga mkono baadhi ya wanaharakati na wanasiasa wa upinzani akiwemo Lissu.
Kuunga mkono maandamano. NRNE nk
Nadiriki kufikilia kuwa Hili halikuwa lengo la kwanza la Polepole. Na ndio maana alivyoingia kwenye Lengo hili la pili alijikuta hana mbinu thabiti ya kujilinda kwasababu hakujiandaa sana kwenye hili.
Haya ni maoni Yangu.
Mm siasa Siijui na wala siifuati
kwa kosa alilolifanya Polepole sio rahisi kuachiwa. Amevunja code kubwa sana kwenye siasa, kusmabaza kashfa za chama chako tena chama tawala cha Africa ni suiside mission. sijui alikuwa na plan gani lakini binafsi naona alikuwa anajikiroga.
Samia hata akitaka kumuachia hatoweza, mana Kuna watu wana hasira nae kuliko hata huyo Samia. Inasikitisha sana
Mm pia naona hawez kurud Uraian.
Ishu yake ni high profile.
Kwanza watamhoji ili kujua ni Viongoz gan wengine wa CCM wako nae (je anatumwa au yuko mwenyewe).
Baada ya hapo. Kwa namna yoyote ile hawez kuaminika na kuachiwa kwa sababu kama amemgeuka Rais. Na mamlaka zake na kuacha Ubalozi.
Hawez shindwa kugeuza maelekezo watakayompa. Ili anyamaze kama wakiamua kumuachia baada ya kutaja ambao anashirikiana nao.
Baada ya uchaguzi kuisha. Na Serikal ya Samia kuapishwa. Kuna meng mapya utasikia.
Wanawake watakuwa weng sana kwenye nafas za juu.
Maana so far ndio Mama anawaamini.
Chawa huyo yupo kaziniUnaandika siasa halafu unasema hujui siasa, are you serious?
Unaona kufanya hvy n sahihi hutokamatwa, Ila mm nakuambia teknolojia itakushangaza πMfano ningekuwa mm.
Najiandaa na cash dollar za kutosha.
Naenda kwa gar had tunduma.
Alaf nitafute watu wa kunivusha border kimagendo ili nikae kati ya Malawi (atakuwa na marafik maana alishawah kuwa balozi) au msumbiji.
Napanga Sehem ambao hawanijui wala kujua story za TZ.
Nanunua Laptop na sim mpya na zote naweka vpn na simcard ya kule..
Ndio naanza kuinanga CCM na serikali yake.
Alaf narusha clips zangu za zaman nikiwa Cuba au kwengineko ili kuhadaa wanaonitafuta
huku napiga Spana za Live kwenye mitandao yangu ya kijamii.
Nikitumiwa Link yoyote kwa email au private kwenye mitandao ya jamii sifungui.
Yaan hata hao insta , X ,JF na Youtube hawataona niko location gan.
Ndugu wa karibu nawasiliana nao via google meets. Yaan hata namba yangu mpya simpi mke wala watoto. Wote wanitafute kwa Link ya hiyo.
Watanipata wapi?. Wala hawatajua niko wap.
Kigogo2014 had leo hawamjui ni nani wala yuko wap . Kwa zile siri zilivyokuwa zinavuja bika shaka alikuwa miongoni mwa watu wa juu kimamlaka kwenye hii nchi. Ila alikuwa smart sana.
Unaona kufanya hvy n sahihi hutokamatwa, Ila mm nakuambia teknolojia itakushangaza π