Maoni yangu Binafsi kuhusu Ndugu Polepole

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
3,402
Reaction score
6,664
Ukweli usemwe.
Kakamatwa kiduanzi sana.

Na hii inanifanya kufikiria kuwa Lengo lake la awali mpaka kupelekea kuachana na Ubalozi lilikuwa lingine na Baadae akapata Lengo lingne na akakosa namna /mipango mizur ya kujilinda.

1. Lengo la kwanza ilikuwa ni kuonyesha Chuki yake ya waziwazi kwa CCM mtandao kwa kutokufuata tamadun yao waliojiwekea ndan ya CCM wa muda na kupishana kwa wale viongozi wakuu.

Alivyoingia Rais Samia. Polepole alikosa ulaji na ujasiri.
Kutoka kuwa katibu wa itikad na uenezi hadi kuwa Mbunge wa kuteuliwa na kisha balozi Malawi.
Bila shaka ilimvuruga sana akili.

Akavumilia kwasababu alikuwa anajua mwaka 2025. Ile tamadun itafuatwa Samia angeondoka na yeye angeweza kurudishwa nchini na kupewa dhamana kubwa (pengine aliahidiwa na Sukuma Gang)labda walishaandaa mtu wao.

Sasa baada ya kuona Samia anaendelea na yeye yuko nje ya mfumo ikabidi atoe la moyoni.
Na ajiuzulu.

Baada ya kutoa aliyonayo. Akaona hajapata mwamko/uungwaji mkono na wana CCM wenye nyadhifa. (Ambao labda walishajipanga akisanue ila wamemsaliti kwa kutokumuunga mkono)

2. Ndio akawa anaonyesha upande mmbaya wa serikali ya CCM . Utekaji. Kuwekwa mahabusu muda mrefu kwa wapinzani, nida kuunganishwa na inec, kashfa za Rostam, kuhoji kifo cha magufuli. na kuunga mkono baadhi ya wanaharakati na wanasiasa wa upinzani akiwemo Lissu.
Kuunga mkono maandamano. NRNE nk

Nadiriki kufikilia kuwa Hili halikuwa lengo la kwanza la Polepole. Na ndio maana alivyoingia kwenye Lengo hili la pili alijikuta hana mbinu thabiti ya kujilinda kwasababu hakujiandaa sana kwenye hili.

Haya ni maoni Yangu.
Mm siasa Siijui na wala siifuatilii.
 
WhatsApp Image 2025-10-07 at 10.20.07 AM.jpeg
 
Mfano ningekuwa mm.
Najiandaa na cash dollar za kutosha.
Naenda kwa gar had tunduma.
Alaf nitafute watu wa kunivusha border kimagendo ili nikae kati ya Malawi (atakuwa na marafik maana alishawah kuwa balozi) au msumbiji.
Napanga Sehem ambao hawanijui wala kujua story za TZ.

Nanunua Laptop na sim mpya na zote naweka vpn na simcard ya kule..

Ndio naanza kuinanga CCM na serikali yake.

Alaf narusha clips zangu za zaman nikiwa Cuba au kwengineko ili kuhadaa wanaonitafuta
huku napiga Spana za Live kwenye mitandao yangu ya kijamii.

Nikitumiwa Link yoyote kwa email au private kwenye mitandao ya jamii sifungui.

Yaan hata hao insta , X ,JF na Youtube hawataona niko location gan.

Ndugu wa karibu nawasiliana nao via google meets. Yaan hata namba yangu mpya simpi mke wala watoto. Wote wanitafute kwa Link ya hiyo.

Watanipata wapi?. Wala hawatajua niko wap.

Kigogo2014 had leo hawamjui ni nani wala yuko wap . Kwa zile siri zilivyokuwa zinavuja bika shaka alikuwa miongoni mwa watu wa juu kimamlaka kwenye hii nchi. Ila alikuwa smart sana.
 
polepole alishafanya mistake tunaomba huruma ya Mama Samia msamehe huyu kijana tafadhali kesho ni fumbo kubwa

kwa kosa alilolifanya Polepole sio rahisi kuachiwa. Amevunja code kubwa sana kwenye siasa, kusmabaza kashfa za chama chako tena chama tawala cha Africa ni suiside mission. sijui alikuwa na plan gani lakini binafsi naona alikuwa anajikiroga.
Samia hata akitaka kumuachia hatoweza, mana Kuna watu wana hasira nae kuliko hata huyo Samia. Inasikitisha sana
 
Mfano ningekuwa mm.
Najiandaa na cash dollar za kutosha.
Naenda kwa gar had tunduma.
Alaf nitafute watu wa kunivusha border kimagendo ili nikae kati ya Malawi (atakuwa na marafik maana alishawah kuwa balozi) au msumbiji.
Napanga Sehem ambao hawanijui wala kujua story za TZ.

Nanunua Laptop na sim mpya na zote naweka vpn na simcard ya kule..

Ndio naanza kuinanga CCM na serikali yake.

Alaf narusha clips zangu za zaman nikiwa Cuba au kwengineko ili kuhadaa wanaonitafuta
huku napiga Spana za Live kwenye mitandao yangu ya kijamii.

Nikitumiwa Link yoyote kwa email au private kwenye mitandao ya jamii sifungui.

Yaan hata hao insta , X ,JF na Youtube hawataona niko location gan.

Ndugu wa karibu nawasiliana nao via google meets. Yaan hata namba yangu mpya simpi mke wala watoto. Wote wanitafute kwa Link ya hiyo.

Watanipata wapi?. Wala hawatajua niko wap.

Kigogo2014 had leo hawamjui ni nani wala yuko wap . Kwa zile siri zilivyokuwa zinavuja bika shaka alikuwa miongoni mwa watu wa juu kimamlaka kwenye hii nchi. Ila alikuwa smart sana.
Well put mkuu. Polepole ni bwege kakamatwa kidwanzi
 
Ukweli usemwe.
Kakamatwa kiduanzi sana.

Na hii inanifanya kufikiria kuwa Lengo lake la awali mpaka kupelekea kuachana na Ubalozi lilikuwa lingine na Baadae akapata Lengo lingne na akakosa namna /mipango mizur ya kujilinda.

1. Lengo la kwanza ilikuwa ni kuonyesha Chuki yake ya waziwazi kwa CCM mtandao kwa kutokufuata tamadun yao waliojiwekea ndan ya CCM wa muda na kupishana kwa wale viongozi wakuu.

Alivyoingia Rais Samia. Polepole alikosa ulaji na ujasiri.
Kutoka kuwa katibu wa itikad na uenezi hadi kuwa Mbunge wa kuteuliwa na kisha balozi Malawi.
Bila shaka ilimvuruga sana akili.

Akavumilia kwasababu alikuwa anajua mwaka 2025. Ile tamadun itafuatwa Samia angeondoka na yeye angeweza kurudishwa nchini na kupewa dhamana kubwa (pengine aliahidiwa na Sukuma Gang)labda walishaandaa mtu wao.

Sasa baada ya kuona Samia anaendelea na yeye yuko nje ya mfumo ikabidi atoe la moyoni.
Na ajiuzulu.

Baada ya kutoa aliyonayo. Akaona hajapata mwamko/uungwaji mkono na wana CCM wenye nyadhifa. (Ambao labda walishajipanga akisanue ila wamemsaliti kwa kutokumuunga mkono)

2. Ndio akawa anaonyesha upande mmbaya wa serikali ya CCM . Utekaji. Kuwekwa mahabusu muda mrefu kwa wapinzani, nida kuunganishwa na inec, kashfa za Rostam, kuhoji kifo cha magufuli. na kuunga mkono baadhi ya wanaharakati na wanasiasa wa upinzani akiwemo Lissu.
Kuunga mkono maandamano. NRNE nk

Nadiriki kufikilia kuwa Hili halikuwa lengo la kwanza la Polepole. Na ndio maana alivyoingia kwenye Lengo hili la pili alijikuta hana mbinu thabiti ya kujilinda kwasababu hakujiandaa sana kwenye hili.

Haya ni maoni Yangu.
Mm siasa Siijui na wala siifuati
Mwandishi ni umeandika Nini utumbo
 
kwa kosa alilolifanya Polepole sio rahisi kuachiwa. Amevunja code kubwa sana kwenye siasa, kusmabaza kashfa za chama chako tena chama tawala cha Africa ni suiside mission. sijui alikuwa na plan gani lakini binafsi naona alikuwa anajikiroga.
Samia hata akitaka kumuachia hatoweza, mana Kuna watu wana hasira nae kuliko hata huyo Samia. Inasikitisha sana

Mm pia naona hawez kurud Uraian.

Ishu yake ni high profile.
Kwanza watamhoji ili kujua ni Viongoz gan wengine wa CCM wako nae (je anatumwa au yuko mwenyewe).

Baada ya hapo. Kwa namna yoyote ile hawez kuaminika na kuachiwa kwa sababu kama amemgeuka Rais. Na mamlaka zake na kuacha Ubalozi.
Hawez shindwa kugeuza maelekezo watakayompa. Ili anyamaze kama wakiamua kumuachia baada ya kutaja ambao anashirikiana nao.

Baada ya uchaguzi kuisha. Na Serikal ya Samia kuapishwa. Kuna meng mapya utasikia.

Wanawake watakuwa weng sana kwenye nafas za juu.
Maana so far ndio Mama anawaamini.
 
..wanawake wataweza kutekeleza majukumu ya wasiojulikana.
 
Mfano ningekuwa mm.
Najiandaa na cash dollar za kutosha.
Naenda kwa gar had tunduma.
Alaf nitafute watu wa kunivusha border kimagendo ili nikae kati ya Malawi (atakuwa na marafik maana alishawah kuwa balozi) au msumbiji.
Napanga Sehem ambao hawanijui wala kujua story za TZ.

Nanunua Laptop na sim mpya na zote naweka vpn na simcard ya kule..

Ndio naanza kuinanga CCM na serikali yake.

Alaf narusha clips zangu za zaman nikiwa Cuba au kwengineko ili kuhadaa wanaonitafuta
huku napiga Spana za Live kwenye mitandao yangu ya kijamii.

Nikitumiwa Link yoyote kwa email au private kwenye mitandao ya jamii sifungui.

Yaan hata hao insta , X ,JF na Youtube hawataona niko location gan.

Ndugu wa karibu nawasiliana nao via google meets. Yaan hata namba yangu mpya simpi mke wala watoto. Wote wanitafute kwa Link ya hiyo.

Watanipata wapi?. Wala hawatajua niko wap.

Kigogo2014 had leo hawamjui ni nani wala yuko wap . Kwa zile siri zilivyokuwa zinavuja bika shaka alikuwa miongoni mwa watu wa juu kimamlaka kwenye hii nchi. Ila alikuwa smart sana.
Unaona kufanya hvy n sahihi hutokamatwa, Ila mm nakuambia teknolojia itakushangaza 😂
 
Tech inabadilika. Najua.
Ila najua jinsi ya kujilinda nikitaka kujilipua mtandaon.

Nilishafanya kazi kampun ya mawasiliano kwa miaka 6.
Najua how capable na najua watakuwa wamesogea zaid miaka hii kwa ajili ya Tech.
Kwahiyo Najua do's and dont na ntajua najilindaje zaid...

Nikiamua kuwa GHOST . Hakuna mtu atanikamata.
 
Bro Mbaga Jr .
Mfano niko TZ.
Nanunua modem . Nanunua line 2 barabaran ambazo hazina jina langu Nanunua vocha za kukwangua za kutosha. Najiunga kifurush cha internet (hizi zote nafanyia morogoro mjini).

Nasafiri kwa bus usiku had Arusha. (Nimevaa miwan na kofia na siongei na mtu).

Hapo Nishanunua laptop. Nainstall VPN. Na iamrisha kuwa nikiconnect internet VPN ndio iwake kwanza.
Alaf nikihakikisha imewaka ndio nafungua mitandao yangu ya kijamii upya nikiwa Namanga au Arusha. Kwenye nyumba ambayo ndugu yangu niliyemuamini alienda kuipangisha mwez kabla. Ina fence. Na Nina bastola . Nina chakula cha mwez mzima na zaid..

Unatafuta kadada kadogo kanakuwa kanakaa ndan kukufanyia usaf na kukuhudumia 😁😁😁😁 na unakalipa vizur. Na unahakikisha Hakana smartphone .

Line ya pili ina hela ya dharula.

Alaf sasa ndio natoa siri za Sirikali.

Anyway ni ndoto tu. Mm sio polepole.
 
Vijana wa hovyo nyie. Kwahiyo Mandela alivyorudi SA kuendesha mapambano akiwa ndani alikuwa bwege?
Hamjui lolote. Polepole kajitoa na akikataa kuendesha vita akiwa nje ya nchi. Huo Ndio ushujaa wenyewe
 
Back
Top Bottom