Maoni yako kuhusu Prof.Jay!

Maoni yako kuhusu Prof.Jay!

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?
Leo nimebahatika kuona video ya Prof.Jay ya nyimbo yake mpya inayoitwa "kazi" amemshirikisha kijana wa kisinheli anaitwa Sholo Mwamba.

Mwanzoni mwa hii video kunamsururu wa magari yakionyesha kama msafara flani hivi.Nimeangalia kwa makini nikaona gari aliopanda Prof.Jay imewekwa bendera ya Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Swali langu ni je, uwepo wa bendera ile katika video hiyo ni sahihi?

Bahati mbaya siwezi hamisha video hapa lakini unaweza iangalia youtube kwa channel ya Prof.Jay..

Note
He is one of my very very favorite Artist.
 
Kwa mtazamo wangu,Uwepo wake ni sahihi kwasababu bado ni Mbunge wa JMT mpaka miaka yake 5 ya kuwatumikia wananchi wake wa huko mikumi itakapoisha
 
Habari wanajamvi?
Leo nimebahatika kuona video ya Prof.Jay ya nyimbo yake mpya inayoitwa "kazi" amemshirikisha kijana wa kisinheli anaitwa Sholo Mwamba.

Mwanzoni mwa hii video kunamsururu wa magari yakionyesha kama msafara flani hivi.Nimeangalia kwa makini nikaona gari aliopanda Prof.Jay imewekwa bendera ya Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Swali langu ni je, uwepo wa bendera ile katika video hiyo ni sahihi?

Bahati mbaya siwezi hamisha video hapa lakini unaweza iangalia youtube kwa channel ya Prof.Jay..

Note
He is one of my very very favorite Artist.
Kwanza wewe na wenzio rekebisheni hizi Lugha za Facebook...ukiwa 1 unaitwa WMBO zikiwa zaidi ya1 ndio zinaitwa NYIMBO sasa huu ujinga wa kubadili Lugha nendeni huko FB
 
Very stupid music Genre ever heard in my entire life. I always think that old Bongo flavor had a better taste than this so called ordinary piece of shit! SINGELI
 
Ndio zama zake hizo ...bongofleva ilianza hivyo hivyo kama una kumbukumbu vzuri.Sisi wengine tuendelee na bongofleva zetu kama wazee wetu walivyoendelea na dansi zao wakati bongofleva inapoibuka.
 
Nampenda sana Mh. J Mbilinyi. Ana busara sana na anajiheshimu. He is really an icon kwa vijana wetu wengi. Si wale wavuta bange wa Mbeya.
 
Kwanza wewe na wenzio rekebisheni hizi Lugha za Facebook...ukiwa 1 unaitwa WMBO zikiwa zaidi ya1 ndio zinaitwa NYIMBO sasa huu ujinga wa kubadili Lugha nendeni huko FB
Asante... toa maoni kuntu shabihiano sasa.
 
Nampenda sana Mh. J Mbilinyi. Ana busara sana na anajiheshimu. He is really an icon kwa vijana wetu wengi. Si wale wavuta bange wa Mbeya.
Umekunywa viroba vingapi braza?

Kweli weekend ndo inaanza hadi keyboard haionekani.

NB
Unatudhalilisha watu wa Mbeya kwa kutuita wavuta bange.
 
Habari wanajamvi?
Leo nimebahatika kuona video ya Prof.Jay ya nyimbo yake mpya inayoitwa "kazi" amemshirikisha kijana wa kisinheli anaitwa Sholo Mwamba.

Mwanzoni mwa hii video kunamsururu wa magari yakionyesha kama msafara flani hivi.Nimeangalia kwa makini nikaona gari aliopanda Prof.Jay imewekwa bendera ya Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Swali langu ni je, uwepo wa bendera ile katika video hiyo ni sahihi?

Bahati mbaya siwezi hamisha video hapa lakini unaweza iangalia youtube kwa channel ya Prof.Jay..

Note
He is one of my very very favorite Artist.
 
Very stupid music Genre ever heard in my entire life. I always think that old Bongo flavor had a better taste than this so called ordinary piece of shit! SINGELI
HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA by MAN FONGO hebu kausikilize ulete mrejesho
 
acha ubinafsi wapo watu unawaburudisha.
Sio ubinafsi mkuu, ukweli lazma usemwe hata kama hamtaki!
Jinsi hali ilivyo, hakuna tofauti na mtu kujenga ghorofa kwa tofali na kuezekea makuti...
 
Bendera ya bunge hata ww unaweza kuiweka nyumbani kwako
 
Huo ni Uzalendo, Mungu ambariki kwa kile alichokifanya
 
Back
Top Bottom