Maoni ya Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri Charles Kitwanga

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Maoni ya Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri Charles Kitwanga.

Habari kubwa iliyoteka vyombo mbalimbali vya habari jana usiku ni habari ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles Kitwanga

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametumia ukurasa wake wa facebook kuandika mtazamo wake baada ya Rais Magufuli kufanya maamuzi hayo .

“Uamuzi wa Rais kumfukuza kazi Waziri wa Mambo ya Ndani unatuma ujumbe mmoja – hataki mchezo.

Rais amethibitisha kuwa anao uwezo wa kutumbua hata aliowateua. Ni maamuzi muhimu sana kwa Kiongozi wa aina yake.

Wale vijana waliokuwa wanatumwa kumtetea wasimame kumtetea. Rais kaonyesha Uongozi ‘ no nonsense “
 
CZI waje tena na blahblah zao. Lumumba kateni Viuno na Huku! Bravo JPM, Lumumba bado hawajielewi ila watakuelewa baadae sana kwani ni the most Slow Learners under the sun!
Kifo cha Upinzani, wewe hujui tu. Bado sukari sijui agenda yenu itakuwa ipi tena
 
Saturday, May 21, 2016
Maoni ya Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri Charles Kitwanga.

Habari kubwa iliyoteka vyombo mbalimbali vya habari jana usiku ni habari ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles Kitwanga

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametumia ukurasa wake wa facebook kuandika mtazamo wake baada ya Rais Magufuli kufanya maamuzi hayo .
“Uamuzi wa Rais kumfukuza kazi Waziri wa Mambo ya Ndani unatuma ujumbe mmoja – hataki mchezo. Rais amethibitisha kuwa anao uwezo wa kutumbua hata aliowateua. Ni maamuzi muhimu sana kwa Kiongozi wa aina yake. Wale vijana waliokuwa wanatumwa kumtetea wasimame kumtetea. Rais kaonyesha Uongozi ‘ no nonsense “

Hayo ni maoni ya kijana nwenzako zitto, tunaomba maoni yako plz, wewe unaonaje......
 
Saturday, May 21, 2016
Maoni ya Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri Charles Kitwanga.

Habari kubwa iliyoteka vyombo mbalimbali vya habari jana usiku ni habari ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles Kitwanga

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametumia ukurasa wake wa facebook kuandika mtazamo wake baada ya Rais Magufuli kufanya maamuzi hayo .
“Uamuzi wa Rais kumfukuza kazi Waziri wa Mambo ya Ndani unatuma ujumbe mmoja – hataki mchezo. Rais amethibitisha kuwa anao uwezo wa kutumbua hata aliowateua. Ni maamuzi muhimu sana kwa Kiongozi wa aina yake. Wale vijana waliokuwa wanatumwa kumtetea wasimame kumtetea. Rais kaonyesha Uongozi ‘ no nonsense “

Zitto umekomaa kisiasa. Nasubiri kama Mbowe na Mbatia nao watampongeza rais JPM. kweli huyu rais ni tingatinga. Naona nchi yetu itapaa maana rubani tumempata.
 
Back
Top Bottom