Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
''Kila uamuzi madhubuti unaofanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) watu "fudenge" huibuka na kusema wao ndio wamehusika.
Hongera Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uamuzi ulioufanya kutufumbua macho dhidi ya wale maharamia wa kiuchumi, Mungu amekubariki, watanzania wamekuheshimu, tutakulipa sawasawa na kazi yako njema. Hakika hatukufanya makosa kukupa dhamana ya Urais wa nchi yetu na Uenyekiti wa Chama chetu.
CCM Mpya Tanzania Mpya ni Hakika, Chama Cha Watu na Kinachoshughulika na shida za watu'' Humprey Polepole.