Maoni: Tatizo la Rombo, chanzo ni Dar

Maoni: Tatizo la Rombo, chanzo ni Dar

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,701
Reaction score
14,101
Imefahamika rasmi hali ya waume wa Rombo ipo kwa wingi katika waume wa jiji la Dar kushinda hata Rombo kwenyewe, pamoja na sehemu nyingine za Afrika.

Poleni sana, tunawaombea Mungu.

Atamsaidieni.
 
Huu ni mtazamo,uchunguzi,utafiti, hisia, taarifa ,makadirio ,habari au ushauri ??
 
imefahamika rasmi hali ya waume wa rombo ipo kwa wingi katika waume wa jiji la dar
kushinda hata rombo kwenyewe, pamoja na sehemu nyingine za afrika.
Poleni sana,tunawaombea mungu.
Atamsaidieni.

Hoja unayo ila ufafanuzi kwanza
 
Unamaanisha wanaume wa Dar ni functionless au wanaume wa Rombo waishio DAR???????????
 
Mtwara/Masasi hawajambo?Salam kwa mjomba 'Nchumali'
 
unamaanisha wanaume wa dar ni functionless au wanaume wa rombo waishio dar???????????
nina maanisha wanaume wanaoishi dar,tatizo ni kubwa zaidi ya rombo.
Depression,frustration and sadness
 
bila kuongelea dar hampumui!! mkimaliza dar mnahamia kwa wabeba box....
 
Warombo wamesoma sanaa, na ni matajiri sanaaaa, na mtoto akikua tu anahama kwa wazaziiiii faster
 
nina maanisha wanaume wanaoishi dar,tatizo ni kubwa zaidi ya rombo.
Depression,frustration and sadness

Acha utani wewe, wanaume hawa wa DAR wenye michepuko 3 na mke??????? Weeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!! hawana tatizo kabisa, ndio maana kila mwanamke anatamani aolewe Dar, hahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom