Maoni: Rais ajaye wa Tanzania 2015 - 2020

Maoni: Rais ajaye wa Tanzania 2015 - 2020

Ngoja niiweke kwenye kidaftari changu cha kumbukumbu hii taarifa yako ili baadae nikuhumu vizuri.
 
Mleta uzi unaona raha kupigwa mawe? Mbona unajifichaficha kwa kitumia fake name. Weka jina lako halisi, namba za simu,mahali unaishi, namba ya nyumba, ofisi/mahali unafanyia kazi uone kipondo utakachopata hao jamaa zako wasipopita.
 
taja jina lako kamili la facebook ili tujue pa kuanzia kukukamata.
 
Nchimbi alikuwa ni mmoja wa wale mawaziri wa ccm waliokuwa wanatuhumiwa kufoji vyeti akaenda nzumbe kupiga PhD huku bado anajita dokta!!msema kweli uliwavua nguo sema ndo hivyo kwa ccm híi "afadhari ya fisadi cheo chake au ukaribu na ccm na serikali yake" cc mfuko huu unapesa huu nao unapesa!
 
Daktari Nchimbi jina lake lilisikika ktk mambo ya Urais na ndio maana akakaa kimya.Sitta ni wazi kabisa capital NO.
Kinana inaingia akilini,tafakari hotuba kwenye ziara zake na hana makundi.Lakini wote hao wataweza muziki wa UKAWA???Siyo lazima Rais atoke CCM.
 
Weka picha yako ili kuanzia November niwe natembea na mawe mfukoni popote nitakapo kuona uwe halali yangu.


Huyu hana haja ya kusubiriwa mpaka November, anatakiwa apigwe mawe kuanzia sasa kwa sababu technically utabiri wake umeshafeli kabla ya huo muda. HAIWEZEKANI MGOMBEA URAIS NA MGOMBEA MWENZA WOTE WAKATOKA UPANDE MMOJA WA MUUNGANO!
 
Back
Top Bottom