Me nimetoa maoni yangu ww unabishana, kama una maoni yako na ww toa, chibu asipochange tutampoteza hv karbun mark my words.
Swala la tuzo alishinda kwa sababu hizi :-
1). Alitoa nyimbo kali
2). Upigaji kula wa mtandaoni ulizingatiwa (sio kama mtv2016)
3). Ndo mara ya kwanza kuwa mtv so watz walitaka tuzo irudi home.
My take:-
Wasanii wabongo waache kutegemea kushinda kula kwa kula za mtandao eg:- instagrm, Twitter n.k badala yake watoe nyimbo kali hili tushinde tuzo hizo.
Kwann nasema wasitegemee mitandao?
Huu mfumo hautumiki tena angalia mifano hii:-
Eddy kenzo alikuwa na kula nyingi,
Diamond alikuwa na kula nyingi,
JPM alikuwa na kula nying lakn alishindwa juz tuu.
DIAMOND TUNATAKA MZIKI MZURI.