Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Kama zipi?Tumechoka na nyimbo za ujanja ujanja za diamond, atengeneze nyimbo nzuri OVER
Huu ndio ukosoaji tunao uhitaji.... sina cha kuongezaKwanza kabisa napenda kukupongeza juu mafanikio uliyoyafikia kimuziki na kimaisha,,na pia nikupongeze juu ya maamuzi yako ya kuanzisha label ya WCB na kuwekeza mamilioni ya mapesa ili kuwezesha vijana wenye vipaji kuonyesha manjonjo yao chini ya mikono yako. Lebo ya WCB ni label namba moja kwasasa Afrika mashariki, na imetengeneza ajira kwa vijana wengi(zaidi ya 45)..
Lakini kuna vitu naomba nikushauri ili uweze kuongeza ufanisi kwenye kazi yako..
Ambavyo ni:-
1. Saini maprodure zaidi ya 5 wenye mawazo tofauti kiutendaji, ili kuepusha migongano ya kimawazo kwenye kutengeneza midundo na ili kusaidia kutofautisha midundo..
2. Waruhusu vijana wako wafanye kazi na maprodure wengine ili kuepuka kufanya kazi kwa mazoea..
3. Tafuta ma-videographer wazuri hata wenye utaalamu wakushiti huku wanabalance sauti kwenye video, siyo camera ikisogea karibu na spika na sauti inaongezeka ikiwa mbali na sauti inapungua, inakera sana ya hadi spika zinakoroma, kama ilivyo sasa..
4. Kuhusu band yako jitahidi uchanganye watu wa back vocals wanawake na wanaume tofauti na sasa kuna wanaume tu,na pia watu wa saxaphone wawe angalau wawili.. Sikosoi band yako,umejitahidi sana hasa hii shoo ya full moon Zanzibar, pia tafuta wapigaji wa kale kakifaa ka kwenye ntampata wapi kanaleta ladha..
5. Kuhusu albam,nakuomba usiogope kuuza albam,unaweza kuziuza ukapata faida kubwa tu, mfano unaweza kuamua kwamba albam iuzwe ndani ya masaa matano tu,ukafungua maduka ya muda kama yale ya kanye west ndani ya hayo masaa, ukachagua kituo ya radio kwa promo hadi kifikia siku ya tukio la uuzaji wa hiyo albam, inapigwa promo kama ya white part ya zari..au unaandaa tamasha kubwa halafu siku hiyohiyo unauza albam..
6. Kuhusu studio, najua umewekeza mapesa mengi mpaka hapo ilipofikia,sikosoi na nakupongeza kwahilo ila jaribu kuweka iwe kwenye holi kubwa kama mbele kuliko ilivyobanana sasa.
Sina ushabiki ila yangu ni hayo tu.. Wadau mnaweza kuongezea nyama hapo.. Ntaleta mrejesho...
Karibuni wadau mchangie mawazo yenu..
hizo za ujanja ujanja ndio zinampa ugali we zako ambazo sio z ujanja ujanja n zipi?Tumechoka na nyimbo za ujanja ujanja za diamond, atengeneze nyimbo nzuri OVER
Alitoka na nyimbo za ujanja, kwa sasa anaenda kubuma na nyimbo hizo. Eg:- kidogo dogo. Angalia nyimbo iliyovuja ya neyo ipo kawaida sana, mashabiki tunahotaj mzik mzurihizo za ujanja ujanja ndio zinampa ugali we zako ambazo sio z ujanja ujanja n zipi?
note:kila mtu anapita njia yake sio lazma wote tufanane hata Afande sele the legend ameimba
chuki uliyonayo inakuponza
ova
haha shabiki wewe mwenye chuki na wivu!fake shabikiAlitoka na nyimbo za ujanja, kwa sasa anaenda kubuma na nyimbo hizo. Eg:- kidogo dogo. Angalia nyimbo iliyovuja ya neyo ipo kawaida sana, mashabiki tunahotaj mzik mzuri
wivu dear..ila tunawapa presha watu w dizaini hii hahahHuwa anawalazimisha kusikiliza au kiherehere chenu tu, tupishe hebu.
Me nimetoa maoni yangu ww unabishana, kama una maoni yako na ww toa, chibu asipochange tutampoteza hv karbun mark my words.haha shabiki wewe mwenye chuki na wivu!fake shabiki
lakini sis really and loyal fans tunaona yuko bombastic yaani mnaona anaanguka lakn mwenzenu ndio kwanza anasimama
kwani kusema anaanguka mmeanza leo?
nyimbo za ujanja ndio swagga zake nandio maana Bwana misosi aliimba atoke vp? Diamond yeye katoka kijanjaaaaaa upo...na anatoboaaaa..
na ndio zinawafanya wasanii wote tz waumize vichwa kwa kutoa nyimbo nzur, bila nyimbo z ujanja za Diamond MTV /BET mngebaki kuzisikia kwny redioooom...
halafu nyimbo za kijanja kijanja ndio zinaipeperusha bendera ya Tz ...hzo zako nzuri zmeleta tukio gani jipya?
nyimbo z kijanja ndio zimetuletea manukato murua ambayo soon yataanza kupatikana kwnye maduka mengi nchini
Una jingine ndugu?
Me naimba?Ha ha haaaaaa
Niwekee zako nione.
Nimekulazimisha kusoma post yangu au kiherehereHuwa anawalazimisha kusikiliza au kiherehere chenu tu, tupishe hebu.