Maoni mbalimbali ya wanasiasa juu ya Lawrence Masha kujivua uanachama wa CHADEMA

Aliyepost hicho anawa-try hakuna kitu kama hicho kwa Mange, watu wasitake kumchafua!!
 
Godbless Lema ni kichwa kingine. Et "WAVULANA WENGI WAMEENDELEA KUSHINDWA na VILEVILE WANAUME NA WANAWAKE IMARA WANAENDELE..." Kwahyo jamaa aliyetoka ni Mvulana na SIYO mwanaume. Akili kubwa ya Lema imetumika kutukana
 
Masha hakutumia rasilimali ila nyalandu muda si mrefu ataukwaa tayari alishaanza kutumia rasilimali nairobi!
Kuna mwenye ushahidi kwamba hakutumia rasilimali?, mbona amelalamika wakati wa kujivua uanachama CDM, huenda kulikuwa na makubaliano kati yake na viongozi waandamizi yameshindwa kutekelezwa.
 
Ujumbe wa kamati kuu waliopewa Lowassa na Sumaye sio cheo? Ugombea wa bure atakaopewa Nyalandu sio cheo? Ubunge wa viti maalumu wanaowapa ndugu zao na michepuko yao sio vyeo?
Mruhusu mkeo nae aje CDM cheo atapewa ili roho yako iridhike.
 
Hivi Ni Demokrasia ipi inayodaiwa kupiganiwa kwenye hizo comments?

Usawa upi unapiganiwa na CHADEMA?

Tuongee uhalisia Ni SI mambo ya kufikirika Tu.
 
Hebu funguka vizuri kuna jambo unataka.kutwambia naona unapita mbali mkuu.
 
hujui kodi zetu mnapewa kwa njia ya jina la ruzuku? Sasa kama mnakula kodi yangu kwa nn yasinihusu we mzungusha mikono na mdeki lami
Wewe unàlipa kodi gani wewe. Kama hata wewe ni mlipa kodi basi traffic polisi ni haki yao kukusanya kodi....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…