Maoni mbalimbali ya wanasiasa juu ya Lawrence Masha kujivua uanachama wa CHADEMA


Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
1,973
Likes
3,214
Points
280
Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
1,973 3,214 280
M

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2008
Messages
6,557
Likes
4,789
Points
280
M

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2008
6,557 4,789 280
Mbona lowassa ameingia na kupewa cheo, sumaye kapewa cheo. Wasitake kutuzubaisha hawa.
Kwa hiyo wote wanaoingia lazima wapewe vyeo! Masha hakupata alichotarajia sasa anatoka na lame excuses!
 
morenja

morenja

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
4,292
Likes
1,440
Points
280
morenja

morenja

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
4,292 1,440 280
Kama hakuna kuteuliwa huko Sumaye na Lowasa wamepataje ujumbe wa kamati kuu?
Masha aliwekwa kwanza kwenye uangalizi maalumu .alidhani chadema wangesahau alivyokuwa anawapeleleza na makamera ya kijasusi Dr Slaa na viongozi wengineo !!???
 
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Messages
5,404
Likes
5,405
Points
280
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined May 2, 2016
5,404 5,405 280
Sio ajali zote zinaua, nyingine zinaleta majeraha tu, nyingine ulemavu na nyingine watu wanatoka salama bila hata mchubuko....
Kweli kabisa mkuu miaka yote alikua mke kuamua kushika hamsini zake keshakua changu!
 
B

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
1,119
Likes
916
Points
280
Age
66
B

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
1,119 916 280
Chadema ....wana akili saana.Na members wake ni wenye kakili na ni wasomi saana.Hii move out of chadema ya Mh.Masha ni very well calculated na nina kila sababu ya kuamini imepangwa na Rt Hon Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Kashinji......huyu bwana ni mtu wa mipango saana na huwa 96% accurate.
Lakini hebu tusubiri,muda ndiyo utakaoamua.
 
M

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
1,668
Likes
1,434
Points
280
M

Martin George

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
1,668 1,434 280
Tuweke akiba ya maneno, Lowassa atakapoimiliki Chadema kwa 100% Masha atarejea ni swala la muda tu!
 
A

abuumwasiti20

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Messages
288
Likes
336
Points
80
Age
48
A

abuumwasiti20

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2016
288 336 80
Kila tunapokwenda kupigania chama huwa nipesa zetu nanguvu zetu hata mahal akija mboe tunachanga anakuja anafanya mikutano anaondoka kwapesa zetu mfkon sasa ruzuku huwazinaenda wap?ukiangalia kama arusha makao makuu yachama mkoa hakuna namna yakumpata kiongoz wa chadema hata wa wilaya hakuna ofc.kiongoz huyo utamuona kwenye mikutano2 ambayo ndohiyo tunachanga kuwawezesha waje wahutubie.swal lang lamsing hiz pesa huwa zinakwenda wap?
 
I

IRIOKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2016
Messages
233
Likes
205
Points
60
Age
48
I

IRIOKO

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2016
233 205 60
Kuna target km tatu ambazo alitarajia kuzipata cdm amezikosa ( wrong projections in strategic plan)

ya kwanza alikosea kufanya maamuzi akijua Lowassa atashinda uraisi hivyo angepata kitengo hili lilikula kwake negatively

pili ni uraisi wa TLS hii nafasi alikua anaitaka japo alijitoa lkn inaonyesha dhahiri alishinikizwa afanye hivyoo

mwisho ni kukosa post ya kuwa mmbunge mwakilishi kwenye bunge la Afrika mashariki baada ya kuhujumiwa na wabunge wa chama tawala, hii ilipelekea yy kujitafakari nakuona kuingia cdm ni km mkosi kwake bora angebaki ccm angepata nyadhifa mbalimbali

Japo ni mwanasheria na hana maisha ya kuunga km yetu ila ni nature ya binadam kutotosheka hadi siku ya kifo.
 
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Messages
2,301
Likes
1,449
Points
280
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2011
2,301 1,449 280
Sio ajali zote zinaua, nyingine zinaleta majeraha tu, nyingine ulemavu na nyingine watu wanatoka salama bila hata mchubuko....
Fanyieni kazi mawazo ya Masha huko arusha Moriet Laigwanan Lowasa kasema 2020 atashinda sasa sjui kapitishwa na kikao gani au ndo kishamiliki chama?
 

Forum statistics

Threads 1,236,789
Members 475,220
Posts 29,268,246