Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,357
Kumbe anapigwa uwani kwenye spika..?Wewe endelea kubanduliwa mwanaume , acha walioamua kutafuta vipato kwa njia halali wale kwa jasho lao wafurahie kidogo chao wanachopata.
Wewe ndio mpekwe ukishabanduliwa huko unabaki kuwa guilty dume zima hovyo kabisa
Oohhoh..tafuta nyuz zake hum, speaker washaitoboa wahuniKumbe anapigwa uwani kwenye spika..?
Ooh kweli kuna uzi anatamani kuwa mwanamke apate kamserereko. Spika hana tena pole yake.Akil zake aliamua kuzihamishia matakoni alipo left group
Hata ombi la kuhama kwenyewe kutoka shule/wilaya moja kwenda shule/wilaya nyingine ndani ya mkoa huo huo mmoja ni kwa mbinde sana.Hii kazi niyakipweke sana, unakuwa mnyonge popote ulipo maana huna nguvu ya pesa kwahiyo huwez kufanya chochote kwenye watu wengi. Hii kazi inahitaji moyo wa chuma
Haina allowance yoyote ileeee, hata kuhama tu ni bure ukibahatika kupewa pesa basi ni laki tano au million moja. Walimu wanaishi ili wasife tu ila hawana future yoyote ileeee
Poleni sana walimu
Wanastahil heshima zao tuwe wakwel kabisaa.Hata ombi la kuhama kwenyewe kutoka shule/wilaya moja kwenda shule/wilaya nyingine ndani ya mkoa huo huo mmoja ni kwa mbinde sana. Wapitishaji wa maombi hayo uwabania sana tena kwa makusudi kabisa. Walimu pamoja na kwamba kuna watu wanawabeza lakini kwa yale mateso wanayopitia katika nchi hii kwa hakika wanastahili heshima na pongezi kwa uvumilivu walionao.
Hivi mkuu mwalimu aliyeanza kazi mwaka huu mpaka anastaafu miaka 30 ijayo anaweza kupata mafao mil 200 kweliHata ombi la kuhama kwenyewe kutoka shule/wilaya moja kwenda shule/wilaya nyingine ndani ya mkoa huo huo mmoja ni kwa mbinde sana. Wapitishaji wa maombi hayo uwabania sana tena kwa makusudi kabisa. Walimu pamoja na kwamba kuna watu wanawabeza lakini kwa yale mateso wanayopitia katika nchi hii kwa hakika wanastahili heshima na pongezi kwa uvumilivu walionao.
Katika nchi hii nimejifunza kuwaheshimu zaidi walimu hasa wa shule za msingi na pia wote wenye petty jobs. Mungu awasaidie.Wanastahil heshima zao tuwe wakwel kabisaa.
Sina hakika kuhusu jambo hilo mkuu.Hivi mkuu mwalimu aliyeanza kazi mwaka huu mpaka anastaafu miaka 30 ijayo anaweza kupata mafao mil 200 kweli
Katika nchi hii nimejifunza kuwaheshimu zaidi walimu hasa wa shule za msingi na pia wote wenye petty jobs. Mungu awasaidie.
Inategemeana na factors nyingi sana mdogo angu.Hivi mkuu mwalimu aliyeanza kazi mwaka huu mpaka anastaafu miaka 30 ijayo anaweza kupata mafao mil 200 kweli
Nyakati zinabadikika kamanda, walimu wa mjini huwezi kuwaendesha endesha tuu unavyojisikia. Siku hizi watu ni wajeuri hawapendi kupelekeshwa. Wakishakusoma tu uko hiv bas hawatakusumbua.Nakumbuka miaka ile wanaweka vigezo vya kupata mikopo ya chuo, course niliyochaguliwa sikupata sifa ya kupewa mkopo.
Nikapewa option nibadili course kwenda ualimu ili nipate mkopo, nikakataa.
Nikalazimika kukaa nyumbani mwaka mzima nikijipanga, mwaka uliofuata nikapata chuo course ile ile niliyochaguliwa mwaka jana. Kwa sababu ndio course nilikua napenda.
Najiuliza, hivi kwa principle zangu hizi, ningekua mwalimu si ningekua nishafukuzwa kazi ama kuacha kazi?
Ualimu bongo ni kazi inayotaka uwe na wito na uwe na moyo.
HAWEZI.Hivi mkuu mwalimu aliyeanza kazi mwaka huu mpaka anastaafu miaka 30 ijayo anaweza kupata mafao mil 200 kweli
Punguza kulalamika basi na wewe, unataka kujinyoga?Mpwayungu Mimi natamani ualimu jaman sijaajiriwa na degree yangu hii tangu 2015 hao waalimu wa cheti tuu hapa nyumbani wananidharau na ni ndugu zangu [emoji24][emoji24][emoji24] usiombe najuta hata kusoma
nimeona post zako nyingi hapa jf, hakika ningekua na uwezo ningekusaidia kupata kazi.Mpwayungu Mimi natamani ualimu jaman sijaajiriwa na degree yangu hii tangu 2015 hao waalimu wa cheti tuu hapa nyumbani wananidharau na ni ndugu zangu [emoji24][emoji24][emoji24] usiombe najuta hata kusoma
Tuongee ukweli WALIMU WALIO CHINI YA HALMASHAURI WATAENDESHWA MPAKA MWISHO WA DUNIA.Nyakati zina badikika kamanda, walimu wa mjininhuwez kuwaendesha endesha tuu unavyojisikia. Siku hiz watu ni wajeuri hawapendi kupelekeshwa. Wakishakusoma tu uko hiv bas hawatakusumbua