Maoni kwa star tv.

Maoni kwa star tv.

kingsley

Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
42
Reaction score
13
Ningependa kipindi cha tuongee asubuhi kirushwe redioni (rfa) ili kutoa fursa kwa watu wengi zaidi kusikiliza na kuchangia.my take huwezi kutenganisha haki na amani kwenye jamii na katika tz yetu amani inahubiriwa wakati haki haipo sio rahisi jambo hili "haki kwanza amani itakuja yenyewe"
 
Halafu kwa nini sasa hivi imekuwa ngumu sana kupata star tv mbeya? Signal ziko chini sana msaada wahusika tafadhali.
 
Halafu kwa nini sasa hivi imekuwa ngumu sana kupata star tv mbeya? Signal ziko chini sana msaada wahusika tafadhali.
ni kweli wanakila sababu ya kuboresha huduma wakati mwingine haipatikani na ikipatikana ni chenga sana tunawapenda boresheni huduma .
 
STAR TV/RFA Boresheni huduma,mkiona watu wanawafuatilia huduma zenu,naomba mtafute na wachambuzi wengine si watu walewale kila siku
 
Back
Top Bottom