Mtumiabusara JF-Expert Member Joined Nov 18, 2009 Posts 473 Reaction score 40 Feb 22, 2011 #1 Je ni kitu gani ungependa kiwe kwenye katiba mpya? DEREVA: Trafiki wasiwepo barabarani MWANAFUNZI: Mitihani isiwepo, baraza la mitihani lifutwe MFANYABIASHARA: TRA itaifishwe Wewe Je?
Je ni kitu gani ungependa kiwe kwenye katiba mpya? DEREVA: Trafiki wasiwepo barabarani MWANAFUNZI: Mitihani isiwepo, baraza la mitihani lifutwe MFANYABIASHARA: TRA itaifishwe Wewe Je?
Click_and_go JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 451 Reaction score 6 Feb 23, 2011 #2 ....duh! hii itakuwa ni kali ya mwaka!
nziriye JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 1,050 Reaction score 365 Feb 23, 2011 #3 4-jamii forum ipate fungu toka serikali kuu. 5-kuwe na marais wawili yani rais mkubwa na raisi mdogo 6-wabunge wapewe bajaji .
4-jamii forum ipate fungu toka serikali kuu. 5-kuwe na marais wawili yani rais mkubwa na raisi mdogo 6-wabunge wapewe bajaji .